Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

Ni kwa wembamba tuu
 
Sio kweli
 
Aiseeh naona unaanza matusi ya chini chini...

Kwani vipi si na mention sifa zenu? Kichwa cha nini wewe unacho? Ulijuaje huwa kinatumika kuwaza? Au unajua nikishaongelea joto basi nataka joto lako? Correct there la sivyo umenitukana
Shemeji kama umepanik hivi!!
 
Aiseeh naona unaanza matusi ya chini chini...

Kwani vipi si na mention sifa zenu? Kichwa cha nini wewe unacho? Ulijuaje huwa kinatumika kuwaza? Au unajua nikishaongelea joto basi nataka joto lako? Correct there la sivyo umenitukana
Mmmmh
 
Sio matusi bhana shem

Ko umechukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…