Wanawake Weupe Hawana Uzuri Wowote

Inategemea NTU na NTU. Acha kabisa kuingilia kazi ya Mwenyezi Mungu.

Sio wote.

Wengi wao wanajiona wazuri kama nini wakati kiukweli wengi wao hamna kitu ni hicho kirangi cha weupe ndo kinawabeba.

Mnajua mnaboa nyie watu!?
 
Mama yako ni mweupe?usikute umazaliwa na cheusi mangala halafu unajishaua tu hapa mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…