Wanawake Weupe Hawana Uzuri Wowote

Sio wote.

Wengi wao wanajiona wazuri kama nini wakati kiukweli wengi wao hamna kitu ni hicho kirangi cha weupe ndo kinawabeba.

Mnajua mnaboa nyie watu!?
sure wananuka sana na k...hili nimeprove mademu wote weupê wananuka k
 
Ndugu yangu hivi video ya gwaji boy uliiona au unasema tu?
 
Hata siku moja huta kuja uwa elewe wanawake ..bora ufanye tafiti zingine
 
Mimi niko poa tu aisee!!Hofu ilikuwa kwako tu! !

Usirudie kumsusa kaka ako kiasi hiki siku nyingine!!
Nafurahi kusikia uko poa kaka
Mimi pia sijambo kabisa


Hahahhahah kaka ake sitarudia tena...nitakuwa nakuja kuja humu...ila na wewe uwe unakuja
 
TUKIWA serious wanawake weupe Wazuri...hata kama rangi inawabeba sawa na hao weusi na maji ya kunde rangi zinawabeba vile vile.

Wadada weupe wananoga bana...ukute Niga black wife mweupe Yani yees unaona kabisa nyumba ina mwanamke ile...UKWELI ni kwamba mtoto wa kike kaumbiwa weupe..tunawapa moyo ma black ili wasijiskie vibaya tu.

Ila once ur a woman and ur skin colour ni nyeupe you have all qualifications za kuitwa mwanamke kamilifu.

Sina ubaya na ma blacks na maji ya kunde ni mchango tu jamani..msje niparamia Nina jazba mwenzenu.
 
Hahaha kama imeshindikana kuonana humu!!

Nyumbani umepasahau! !Uwe unajongea eti,,Udugu kazi ujue!!
Nafurahi kusikia uko poa kaka
Mimi pia sijambo kabisa


Hahahhahah kaka ake sitarudia tena...nitakuwa nakuja kuja humu...ila na wewe uwe unakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…