Wanawake wenzangu msiwe too conservative kimapenzi

Usimmwogope mumeo,
Chezea mwili wake,mtreat Kama mwanaume pekee duniani hakuna anaefanana nae,mmwulize wapi hujamfikisha .kuwa Malaya wake,porno wake .Hatokaa atoke nje wanaume wako visual ,mchezee Mumeo,mmwimbie( sio nyimbo Za mafumbo).usiuogope mwili pia viuno kila siku vinachosha

Natamani ungeongea na mke wangu, au wewe mwenyewe ungekuwa mke wangu!!!!!
 
Mi nafanyaga if THERE IS SOMETHING TO BENEFIT!!!!!!! Maybe kuna ombi langu limekwama nataka kulikwamua?

Kiukweli hawa wanaume wana tabia ya KUZOEA vitu unavyomfanyia. Sasa ukikurupuka mjini hapa, mwanaume game 3 tu ushaweka karata zote juu ya meza! ALAS!!!!!!! Haitakiwiii! Mimi maujuzi nayatoa kwa MKONO WA BIRIKA!!!!!!!! Silaha zile nzito nzito sizitumiii katuuu hadi ibidi sanaaaaa! Ikitokea special event kama Kunipa Gari Game yake lazima iwe Tofauti, vry unique, Viwango vya juu zaidi kuendana na tukio la Kushukuru hili gari.

Siku nina ombi dumeee nataka nipatiwe kiurahisi, nabadilisha silaha natumia Ak 47 tofauti kabisaa na 9mm aliyuizoeaaa! Hivo nakuwa mpya kila siku!!!!!!! JST KEEPING IT REAL!!!!!!!

Sasa nyie mchezo haujanza karata zote mmeweka mezani, ukifungwa huo mchezo utamlaumu mtu? Aibu yako mwenyewe!

Kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiii... Me like u Lara 1

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Duu hv kuna mademu ambao hawanyonyi koni?

love is nat all about kulamba koni, kukatika tu, hakuna mtu asiyejua ilo.. unadhani wanaocheat wake zao hawalambi conny nah,, wanalambwa wanakatikiwa,, iyo ni kichocheo tu, make jokes, laugh together, do fun and crazy things together, dress nicely, yan be in style,yan mfaye mtu kuwa na hamu ya kukuona heshima jamany yan watu kwenye mahusiano sikuizi wanatukanana alafu mtu ndo tushazoeana nyooo...we hujui kuna kitu psychology ya mpenzi wako unahiaribuu.....
 
wanaume hawaridhiki ati!!!! fanya yote hayo akinasa kwa mwengine atastik kwenye kitu kimoja tu ambacho na wewe pia unacho!!! yani basi tu!! mpe japo steki paka akimuona panya atakutoroka tu
 
sitaki kukuta umeruka kichaa, baada ya kumfanyia hayo na ukagundua ana wengine kadhaa nje! Wanaume wengi wana tamaa kuliko unavyofikiri. Unavyojitahidi sana, ndo anahisi yule mdada mwingine atafanya zaidi! there is no formula in an opposite sex relationship! 1+1= sio 2. Watch out, stay stress awakened!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom