Wanawake wenzangu msiwe too conservative kimapenzi

Usimmwogope mumeo,
Chezea mwili wake,mtreat Kama mwanaume pekee duniani hakuna anaefanana nae,mmwulize wapi hujamfikisha .kuwa Malaya wake,porno wake .Hatokaa atoke nje wanaume wako visual ,mchezee Mumeo,mmwimbie( sio nyimbo Za mafumbo).usiuogope mwili pia viuno kila siku vinachosha
Somo zuri sana hili, haya akina dada hata wale wasioolewa fuateni ushauri huu ili mpnz wako asikumwage wala kutoka nje,lol
 
Mume/mke mwema hutoka kwa Mungu. Wewe fanya mbwembwe zako zote, nyonya koni, toa hadi 0714 ila kama hajatoka kwa Mungu ujue ni chenga tuuuu.

Walokole noma bonge la turn off wana stress.
 
Ayaaaaah siri hadharani mamito snowhite njoo ushuhudie nduguyo nata akitoa somo la tigo, kumbe malipo ya vakesheni na shopping plus madolari ni tigo lol hatariii
Mume/mke mwema hutoka kwa Mungu. Wewe fanya mbwembwe zako zote, nyonya koni, toa hadi 0714 ila kama hajatoka kwa Mungu ujue ni chenga tuuuu.
 
Last edited by a moderator:
Mi nafanyaga if THERE IS SOMETHING TO BENEFIT!!!!!!! Maybe kuna ombi langu limekwama nataka kulikwamua?

Kiukweli hawa wanaume wana tabia ya KUZOEA vitu unavyomfanyia. Sasa ukikurupuka mjini hapa, mwanaume game 3 tu ushaweka karata zote juu ya meza! ALAS!!!!!!! Haitakiwiii! Mimi maujuzi nayatoa kwa MKONO WA BIRIKA!!!!!!!! Silaha zile nzito nzito sizitumiii katuuu hadi ibidi sanaaaaa! Ikitokea special event kama Kunipa Gari Game yake lazima iwe Tofauti, vry unique, Viwango vya juu zaidi kuendana na tukio la Kushukuru hili gari.

Siku nina ombi dumeee nataka nipatiwe kiurahisi, nabadilisha silaha natumia Ak 47 tofauti kabisaa na 9mm aliyuizoeaaa! Hivo nakuwa mpya kila siku!!!!!!! JST KEEPING IT REAL!!!!!!!

Sasa nyie mchezo haujanza karata zote mmeweka mezani, ukifungwa huo mchezo utamlaumu mtu? Aibu yako mwenyewe!
hapa nakubaliana na wewe kabisaaa mdogo wangu, ndo maana huwa kuna special...... hii lazima iwe tofauti na usual, na mtu ajue kabisa hii leo ni special, lol! inamotivate mambo mengine
 
Afadhari wana Beijing mmeanza kulisoma gemu maana wengine kutwa kulalama ooh nakimbiwa kumbe wao wenyewe wanasababisha tutoke mbio
 
heading tu niiajua huyu ni natalia....... Haya mwenye masikio na asikie, King'asti, umesikia maneno hayo? Ukamfanyie Paw usije kututia aibu sie Mtambuzi mahari keshakula hata sumni hana, snowhite upo?

hata mimi sijui kwanini nilipoona tu umeniita na nikakuta ni hiyi heading sumsing ikanitell ni nataly!mutoto ya fisadi,muke ya muzungu,mama ya bhatoto bhatatu,shosti yake na Ciello, King'asti na mwaJ , mupenzi ya MKATA KIU ,pal wake watu8 mteja wa Kongosho (konnie si nimesikia umefungua law firm tayari kabisa kwa ajili yake!)
 
Last edited by a moderator:
Mara moja Muke ya Muzungu! ilikuwa kama utani tuu,zamani sana!
Mume wako uwa ana kufumua?
na we hebu nyosha swali!
sasa hapa kumfumua anamfumua nini? ah mi wakati mwingine huwa sipendi kama nini misamiati tegemezi namna hii!ahahhahahhahahhahhahahh wapi mwali wangu gfsonwin!mimi miss yah girl!dah!
 
Last edited by a moderator:
mwanaume kama bedui bedui tu hata umpe nn? manake hawana kanuni umpe nn akiamua kukuudhi ana kuudhi tu ishu ni kusali na kumwomba mungu asimamie maisha yenu. hapa ukisema uwe porn wake sijui napata hisia kwamba hata kama anakufumua marinda wewe uchukulie poa tu, na kama akisema na mengine wewe uone poa tu lol! utaliwa hadi mande kwa staili hii hapa nuangana na King'asti kwamba hakuna kuonewa.
 
Last edited by a moderator:
Mwl jitahidi hivyo hivyo!

mwanaume kama bedui bedui tu hata umpe nn? manake hawana kanuni umpe nn akiamua kukuudhi ana kuudhi tu ishu ni kusali na kumwomba mungu asimamie maisha yenu. hapa ukisema uwe porn wake sijui napata hisia kwamba hata kama anakufumua marinda wewe uchukulie poa tu, na kama akisema na mengine wewe uone poa tu lol! utaliwa hadi mande kwa staili hii hapa nuangana na King'asti kwamba hakuna kuonewa.
 
Last edited by a moderator:
Mmh! Wengine tunaosha vyombo, tunadeki, tunatandika vitanda, tunatoa mkwanja wa kueleweka, lakini bado hakieleweki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom