Hahahahahahahaha..... Alitoa machozi lita 3 akilia tusiachane 😁 🥰😁😆😅😂🤣😄just for fun.
Hebu mtumie mume/mpenzi text mwambie tuachane halafu uje kutupa mrejesho kakujibu nini
hajaribiwi etiWeekend hyoo..nisije shindwa tolewa out
hahaha gunia wala haziingii hapaMh umetumwa wewe sio bure, wanawake wenzangu msijaribu gunia mbili za mkaa zisijekuwahusu
mi nimemtumia kanijibu tu kasema hayaTuma tu wewe shost utupe mrejesho
mi kasema haya una bahati sana weweHahahahahahahaha..... Alitoa machozi lita 3 akilia tusiachane í ½í¸ í ¾íµ°í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ¾í´£í ½í¸
Si kwa sasa kuna kampeni kabambe kuwa ukiona mwenzi wako ameweka gunia zaidi ya mbili za mkaa ndani, basi TOA TAARIFA HARAKA KITUO CHOCHOTE CHA POLISI KILICHOPO KARIBU NAWEMh umetumwa wewe sio bure, wanawake wenzangu msijaribu gunia mbili za mkaa zisijekuwahusu
Hahahahahahahaha..... Alitoa machozi lita 3 akilia tusiachane