wanawake wenyewe wanakiri hivyo

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,266
Akasema wanawake wazuri ni wasumbufu. Bora uwe na wa kawaida tu. Walikuwa wakiambizana wenyewe wakiwa watatu. Yawezekana wamepata.mkasa sehemu. Nao ni wadada tu. Sasa hao wa kawsida ndio wakoje? Kuwa na mwanamke ambaye hatamshawishi mwanaume mwinhine kumtamani kwa mara moja ni suluhu? Sasa kama hamshawishi mwanaume mwingine kihisia mi mumewe atanishawishi vipi? Mwisho wa siku nitaoa huyo wa kawaida halafu nitamtafuta mzuri awe poozeo langu. Na hao wazuri kwa nini wakubali kuwa wasumbufu kisa wazuri?

-----------------------------------------------------------------------------
-----------------------------------------------------------------------------
NB: Hii mada hainihusu. Jadilini kilichopo na sio aliyekileta.
 
Wana high self esteem( hali ya kujiamini, kuwa hawana dhiki ya wanaume, au kiberiti kinanjiti kwa hiyo hakitikisiki). Strong men tend to battle for beutiful girl,and beutiful are busy beutifying their boby, Kwa hiyo usumbufu ni wakawaida
 
Siamini katika hoja yako mkuu. Aliyesema hawana dhiki ya wanaume ni nani? Kuna ignorance fulani katika mawazo ya yule anayeamini kuwa uzuri wake ni ulimbo au silaha. Ikitokea akadhurika bado atakuwa hana dhiki?
 
kuna dada mmoja nafanya nae kazi yeye uwa anasema wadada weupe wanajisikia na kuringa mnoo...
Ndo hao nafkiri unaowazungumzia,.
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! Kuna WANAUME na MIGUMEGUME!!!!!!!! Migume gume kwa kelele na kuongea ongea sanaaa! Weeeeee! Haina mpinzani! Kutwa kucha kuanzisha theory za kujipa moyo!

Mwanaume wa ukweli huwezi kuwa busy una discuss wadada sijui wamefanya nini, wa aina gani! HIO INADHIHIRISHA UNA UPUNGUFU WA WANAWAKE MAISHANI MWAKO!!!!!!!!!

Wanaume wa ukweli they are busy knocking out hot girls, romancing, having the time of their life, LIVING THE REAL SHIT! They are more into finding out and getting into the piece of ACTION not just TALKING TALKING AND MORE TALKING making and reviewing theories about them women whom you have NEVER TASTED!!!!!!!!!!
 


...taratibu,.. BADO NI MAPEMA MNOO..
 
true that....

 

^^
Ukweli usio na chenga japo lisemwalo lipo na la! Halipo linakuja
^^
 
Tuache kutoa mapovu. Tujadili mambo hapa. Ishu si kufakamia wanawake wazuri wala kuonyesha ufahari wa kuwapata bali ni kwa vipi hao wazuri wanatumia silaha hiyo kama fimbo
 
Tuache kutoa mapovu. Tujadili mambo hapa. Ishu si kufakamia wanawake wazuri wala kuonyesha ufahari wa kuwapata bali ni kwa vipi hao wazuri wanatumia silaha hiyo kama fimbo

Hamna NAETOKA POVU!!!!!!!! Au jilo povu la omo liko wapi kwenye thread mi naona maneno tu! Hahahaaaaaaaaaaa!

Hoja ndo inajadiliwa hapa KIUGUMU so kama haiendi unavotaka TAKE A CHILL PILL! Hoja inaangaliwa kwa mapana na marefu!
 
Ukiwa huna hela kila kitu unaona unaonewa.
Umeangaliwa kwa dharau
umejibiwa kwa dharau
mtu akichelewa appointment umedharauliwa
yaani taabu juu ya shida.

Ila kujiamini na kujikubali ndo mpango wote wa ndani na wa nje
 
heeeeeeee kumbe kumekucha aiseee naona vidume mmelala mnaota wanawake.
na hiki kibaridi cha siku mbili tatu kinachoendelea kikiambatana na kimvua hakika kitazua mengi sana hasa kwa wale wanao lala single maana usiku hakulaliki ndio maana wanalala na kuota haya wakistuka wanakurupukia kuanzisha thread JF ,.
 
 

well said...real men be banging b.itches left rut nd centre
 
Tuache kutoa mapovu. Tujadili mambo hapa. Ishu si kufakamia wanawake wazuri wala kuonyesha ufahari wa kuwapata bali ni kwa vipi hao wazuri wanatumia silaha hiyo kama fimbo

na vipi kuhusu hao mahandsome boys wanaotumia silaha yao ya uhandsome kuwa na wasichana wengi!!
 

Umeamka Salama kweli leo?..ebu fafanua hapa "reviewing theories about them women whom you have NEVER TASTED!"
 
Kuna msemo huu Never compete with animal you don't knw about, investigate first!! Ndivo ilivo kwa wanawake hasa wale wazuri ambao vidume wengi wanaota kuwapata! Na kwakua wao wanajua ni bidhaa adimu basi hujua class Yao ipi!! Jiamini na kuna vitu vidogo vidogo unatakiwa uvijue kabla! Baada ya hapo Ndio ule msemo "usiogope ukubwa wa samaki uliza bei" vinginevo utaishia kulalamika au kua na mtu ambae huridhiki nae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…