Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Yaani wadada wa siku hizi sijui wakoje,wanakeraaaa.

Unakuta dada mzuri ajabu,shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh,kuja mbele sasa,chevuuuu,tumbo hilo!,uzuri wote chalii!

Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho,mnakula sana kuliko hata midume,machips mayai, manyama choma, ma bia, ma baga, sijui manini yote yenu! Sasa kwa staili hiyo kwanini msitoke vitambi!

Yaani unakuta mwanaume na mwanamke wanapita hata hujui me ni nani na ke ni nani,kwani mki maintain shape kuna ubaya gani,

We huoni watoto kama Jokate mwegelo wanavyo pendeza hadi raha,sio kama Shilole hadi anaogopesha na ule mtumbo,au mfano mzuri mdada Lara1 ni bonge la mtoto!..yupo flat sehem za flat na ameumuka sehemu zinazohitajika!
Ni ushauri tu wadada!

dr.holygrail
mkuu vp umelazimishwa nn kua nao...usi attack appearance ya mtu kiasi hcho kama ww hawakupendezi kuna tunaowapenda huna mamlaka hayo isipokua kwa mpenz wako TU sasa kama unamsema demu wako hapa hyo ni case nyingine sina mamlaka nayo
 
Mbebez at work naona unatengeneza mazingira.
 
Mkeo, dada yako hajawaeleza kuwa wanakukera?
 
Wanaboa bhana matumbo ka vibuyu vya maziwa halafu wazitoooo kunako bed
😁😂😂😂😂😂😂
 
Mbaya kwako kwangu tumbo na minyama ikichezacheza wakati wa mtanange mimi kufaidii.

Hasa ukimuweka mbwa kagoma...aiseee nakula mpaka mifupa.
 
Yaani wadada wa siku hizi sijui wakoje,wanakeraaaa.

Unakuta dada mzuri ajabu,shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh,kuja mbele sasa,chevuuuu,tumbo hilo!,uzuri wote chalii!

Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho,mnakula sana kuliko hata midume,machips mayai, manyama choma, ma bia, ma baga, sijui manini yote yenu! Sasa kwa staili hiyo kwanini msitoke vitambi!

Yaani unakuta mwanaume na mwanamke wanapita hata hujui me ni nani na ke ni nani,kwani mki maintain shape kuna ubaya gani,

We huoni watoto kama Jokate mwegelo wanavyo pendeza hadi raha,sio kama Shilole hadi anaogopesha na ule mtumbo,au mfano mzuri mdada Lara1 ni bonge la mtoto!..yupo flat sehem za flat na ameumuka sehemu zinazohitajika!
Ni ushauri tu wadada!

dr.holygrail

Kama unampenda lara 1 siuseme tu, unazunguka nini.
 
Last edited by a moderator:
mkuu vp umelazimishwa nn kua nao...usi attack appearance ya mtu kiasi hcho kama ww hawakupendezi kuna tunaowapenda huna mamlaka hayo isipokua kwa mpenz wako TU sasa kama unamsema demu wako hapa hyo ni case nyingine sina mamlaka nayo

Umemaliza mkuu, hajui kama sisi wengine tuna undugu na Shekhe Kipozeo.
 
Siku zote wengi huwa kwenye upande usio sahihi
 
Daah too bad.. Anyway ni changamoto kwa pande zote hivyo ni muhimu kuchukua tahadhari na hatua stahiki... Fatty belly inakuweka kwenye risk ya kupata magonjwa ya moyo na kisukari
 
hapo kwa [MENTION=212295] lara 1
ni hatareeee huyu mtt nilipokutana kwenye kumbukumbu ya the late regia mtema pale peacock hotel nilimsisikaaa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom