Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Yaani wadada wa siku hizi sijui wakoje,wanakeraaaa.

Unakuta dada mzuri ajabu,shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh,kuja mbele sasa,chevuuuu,tumbo hilo!,uzuri wote chalii!

Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho,mnakula sana kuliko hata midume,machips mayai, manyama choma, ma bia, ma baga, sijui manini yote yenu! Sasa kwa staili hiyo kwanini msitoke vitambi!

Yaani unakuta mwanaume na mwanamke wanapita hata hujui me ni nani na ke ni nani,kwani mki maintain shape kuna ubaya gani,

We huoni watoto kama Jokate mwegelo wanavyo pendeza hadi raha,sio kama Shilole hadi anaogopesha na ule mtumbo,au mfano mzuri mdada Lara1 ni bonge la mtoto!..yupo flat sehem za flat na ameumuka sehemu zinazohitajika!
Ni ushauri tu wadada!

dr.holygrail

huyu jamaa ana kashifa mweh!
 
hivyo vitambi vinakukera nini wewe,kwani unavibeba wewe....looh! hovyoo
 
@QUOTE MASTER kumbe ndie holygrail.. what a ffffffine day!
 
Mkuu naona sasa watafuta vita na hao dada zetu. Weka hupendi tumbo tulia tu kuna wengine wanayazimikia sanaa... hayo matumbo usiotaka wewe, hawali hawanywi kuyawaza tu.Kumbuka kila shetani na mmbuyu wake.
 
Desktop1-6.jpg
Kama huyu nikishindwa kumfumua vizuri basi ni halali yake kusema wanaume ni wabinafsi na hatumridhishi!
 
Sijaelewa,umejuaje mbona na yeye alikua anammaind sana mbebez.

mkuu huyu ni mtu mmoja tu katika miamvuli tofauti... jaribu kufuatilia comments za holygrail utaona zina mabadiliko fulani..

sasa hebu angalia hii thread ambayo alijitapa kuwa amempeleka holygrail kuzimu... IT IS THE SAME PERSON!

Huyu mbebez nilitegemea akitoka huko kuzimu atakuwa amejirekebisha lakini imekuwa ni kinyume kabisa.

Ujue humu jf hakuna sehemu tamu ya kumrudisha mtu kuzimu kama kule 'siasani' bana. Jamaa kaenda kuchafua hewa kwa yericko nyerere nikamchoma hapo hapo!!...

Tokea aliporudi toka kuzimu nilipata pm nyingi sana kutoka kwa wakongwe wa MMU kwa sababu mimi ndo mnadhimu mkuu wa MMU. Nimejaribu kumchoma MMU lakini akawa mjanja kidogo. Si nikamkuta kule kwa wazee wa katiba anatamba eti anawaita wazee wa katiba ma 'mbebez'. Nikamchomea pale pale...kwani ilichukua hata sekunde!!
Dogo 'pery' tokea karudi naona kidogo amekua. Na mpigamsuli anajiita advocate J siku hizi.

Kama kuna kambale yoyote anachafua hewa ni pm fasta ili nimrudi kama mnadhimu mkuu wa MMU.
 
Last edited by a moderator:
Jamani kuweni makini na members humu, ukishoboka sana unaweza kujikuta ndani ya situ la mabwepande....

Hahahhahahaaa aisee! Is it?

see the reference man...

Huyu mbebez nilitegemea akitoka huko kuzimu atakuwa amejirekebisha lakini imekuwa ni kinyume kabisa.

Ujue humu jf hakuna sehemu tamu ya kumrudisha mtu kuzimu kama kule 'siasani' bana. Jamaa kaenda kuchafua hewa kwa yericko nyerere nikamchoma hapo hapo!!...

Tokea aliporudi toka kuzimu nilipata pm nyingi sana kutoka kwa wakongwe wa MMU kwa sababu mimi ndo mnadhimu mkuu wa MMU. Nimejaribu kumchoma MMU lakini akawa mjanja kidogo. Si nikamkuta kule kwa wazee wa katiba anatamba eti anawaita wazee wa katiba ma 'mbebez'. Nikamchomea pale pale...kwani ilichukua hata sekunde!!
Dogo 'pery' tokea karudi naona kidogo amekua. Na mpigamsuli anajiita advocate J siku hizi.

Kama kuna kambale yoyote anachafua hewa ni pm fasta ili nimrudi kama mnadhimu mkuu wa MMU.

mleta mada alikuwa quote master ambaye alikuwa anasema kama ilivyoandikwa...

sasa kwanini ID inasomeka HOLYGRAIL?
 
Yaani wadada wa siku hizi sijui wakoje,wanakeraaaa.

Unakuta dada mzuri ajabu,shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh,kuja mbele sasa,chevuuuu,tumbo hilo!,uzuri wote chalii!

Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho,mnakula sana kuliko hata midume,machips mayai, manyama choma, ma bia, ma baga, sijui manini yote yenu! Sasa kwa staili hiyo kwanini msitoke vitambi!

Yaani unakuta mwanaume na mwanamke wanapita hata hujui me ni nani na ke ni nani,kwani mki maintain shape kuna ubaya gani,

We huoni watoto kama Jokate mwegelo wanavyo pendeza hadi raha,sio kama Shilole hadi anaogopesha na ule mtumbo,au mfano mzuri mdada Lara1 ni bonge la mtoto!..yupo flat sehem za flat na ameumuka sehemu zinazohitajika!
Ni ushauri tu wadada!

dr.holygrail
Kila ndege hutua mti aupendao wenazako wanapenda unachokichukia pole.
 
Back
Top Bottom