Wanawake wenye vipini puani

Sisi kwetu kuanzia bibi yake bibi alitoboa na hakuwa malaya wala nini maana ukweli haufichiki, na vijukuu na vitukuu mwendo ni uleule tuu.. Vitu vingine ni tabia ya mtu tuu...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wacha weee! Msomi aki present dissertation yake, mnasoma ila mnaishia kuwa namna hii.
 
Wenye vipini puani mojani micharuko, pili hata uwelewa ni mdogo(elimu), watata, wanaenda kwa mpalange.

faida gharama yao ni cheap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ