Wanawake wenye vipini puani

Ila hapa kinachotusumbua ni utofauti mkubwa wa tamadun, mila na desturi zetu ndan ya taifa moja la makabila mengi.
Nitakuwa wa mwisho kuvalisha tabia kwenye hizo urembo kwa wengine.
Najiuliza ujisahahu upeleke kwetu mwanamke ana kikuku, pini za puan na jichoni au mishanga. Walai atalazwa chooni!
Najiuliza mke wa mtu kwetu akutwe kasasambua. Aisee.
Ama kweli Najivunia kwetu bila kudharau wengine
 
Bhahahahahaaa
 
Research tayari
 
Sasa research gani inaanza kwa conclusion na recommendation. Au ndo mazao ya UPE
 
Kwa mwendo huu tusitegemee bei za vyakula zishuke...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…