LILENDI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 1,400
- 497
i wish u were true!!!!!!
I wish u realized it to be the truth
i wish u were true!!!!!!
Na kwa nn uwe mbahili??Ubahili ni hatari kwa mjini hapa unaweza kosa demu kabisa
Na utapendaje vitu vizuri wakati wewe ni mbahili??Na kwa nn uwe mbahili??
Ndio hapo sasa shida ilipoNa utapendaje vitu vizuri wakati wewe ni mbahili??
Hahaahar, yaweza ww pekee ndio hupendi ofa za bure ila waliokubaki wanahitaji watumbuliwe majipu ya kupenda vya bureUna bahati mbaya kwa kuwa unakutana na wa hivyo,
Ila siyo wanawake wote wana tabia kama hizo.
Lara umesahau thread zako za kuwachuna wenzetuMmmmmmmmmmh! NJOO TUKUPE OFA SIE UFURAHI!!!!!! Pesa ndogo unawazaaaaaaaa!!!!!!!!