Ni fahari kwamba ndio Nina sauti la kiume, sibabaishwi, na simuogopi mtu Ila ninamuheshimu, si m-bishi Ila ni muelewa ninapokataa kitu Nina maana kwa kweli 90% ya mlichojadili ninacho ndio maana nimecheka sana Ila "pesa sina" halafu si ndevu ni tundevu