City Owl JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 3,765 Reaction score 8,249 Jan 12, 2016 #22 Kuna Hawa wengine wanaota ndevu baada ya kujichubua... Hao usioe
linguistics JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 4,732 Reaction score 4,393 Jan 12, 2016 #23 Me nna vindevuuu!!!
Tinoh rapper Member Joined Jan 12, 2016 Posts 17 Reaction score 8 Jan 12, 2016 #24 mbalizi1 said: Kuna wanawake wana ndevu hadi zinaogopesha Click to expand... Haha hahaaaaaaa hamna kitu kama hcho bhana
mbalizi1 said: Kuna wanawake wana ndevu hadi zinaogopesha Click to expand... Haha hahaaaaaaa hamna kitu kama hcho bhana
Usangu JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 826 Reaction score 450 Jan 12, 2016 #25 Wanabahati sana ya mpunga
jje's JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 10,886 Reaction score 16,584 Jan 12, 2016 #26 BoGotta said: Ha...yake haishave vizuri kwa kipilipili type km Rozay. Click to expand... Huo ndo ubinafs ambao naupinga kila siku. Y umletee ya tofauti na yako? nafikiri ungeleta type moja ila rangi tofauti bhana.
BoGotta said: Ha...yake haishave vizuri kwa kipilipili type km Rozay. Click to expand... Huo ndo ubinafs ambao naupinga kila siku. Y umletee ya tofauti na yako? nafikiri ungeleta type moja ila rangi tofauti bhana.
J C JF-Expert Member Joined Dec 12, 2013 Posts 3,139 Reaction score 2,635 Jan 12, 2016 #27 Tena ukitaka kuzipunguza hutumii wembe we unazing!ata na meno tu zinatoka ila usizitoe zote.
BoGotta JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 740 Reaction score 674 Jan 12, 2016 #28 jje's said: Huo ndo ubinafs ambao naupinga kila siku. Y umletee ya tofauti na yako? nafikiri ungeleta type moja ila rangi tofauti bhana. Click to expand... Nature ya ndevu zangu ni chronic zaidi ya stealwire tofauti na zake si unazicheki lkn Mkuu akitumia km hii itamkwangua koromeo.
jje's said: Huo ndo ubinafs ambao naupinga kila siku. Y umletee ya tofauti na yako? nafikiri ungeleta type moja ila rangi tofauti bhana. Click to expand... Nature ya ndevu zangu ni chronic zaidi ya stealwire tofauti na zake si unazicheki lkn Mkuu akitumia km hii itamkwangua koromeo.
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,258 Reaction score 9,728 Jan 12, 2016 #29 Wana bahat ya Pesa balaa chukua huyo faster kama vp nipe namba yake
jje's JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 10,886 Reaction score 16,584 Jan 13, 2016 #30 BoGotta said: Nature ya ndevu zangu ni chronic zaidi ya stealwire tofauti na zake si unazicheki lkn Mkuu akitumia km hii itamkwangua koromeo. Click to expand... hahahahahaha sawa Mkuu nimekupata sorry
BoGotta said: Nature ya ndevu zangu ni chronic zaidi ya stealwire tofauti na zake si unazicheki lkn Mkuu akitumia km hii itamkwangua koromeo. Click to expand... hahahahahaha sawa Mkuu nimekupata sorry
M mwanafyale JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 1,641 Reaction score 539 Jan 13, 2016 #31 S Tetramelyz said: As far as ana REPRODUCTIVE STRUCTURES za kike, anafaa kuoa kabisa, kwakuwa hata hizo ndevu zao haziwagi kaa vichaka kama kwa wanaume. Vuta mzigo huo ndugu.. Maana nasikiaga ati wanakuwaga na akili za maisha sanaaa ! Click to expand... nadhani upo sahihi mkubwa, nina dada yangu ambaye ana akili sana ya maisha, in fact familia bila yeye ni kama haipo
S Tetramelyz said: As far as ana REPRODUCTIVE STRUCTURES za kike, anafaa kuoa kabisa, kwakuwa hata hizo ndevu zao haziwagi kaa vichaka kama kwa wanaume. Vuta mzigo huo ndugu.. Maana nasikiaga ati wanakuwaga na akili za maisha sanaaa ! Click to expand... nadhani upo sahihi mkubwa, nina dada yangu ambaye ana akili sana ya maisha, in fact familia bila yeye ni kama haipo
M mwanafyale JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 1,641 Reaction score 539 Jan 13, 2016 #32 mbarika said: Wana bahat ya Pesa balaa chukua huyo faster kama vp nipe namba yake Click to expand... Ha ha haaaa.mlakini wana sifa ya umwamba fulani hv
mbarika said: Wana bahat ya Pesa balaa chukua huyo faster kama vp nipe namba yake Click to expand... Ha ha haaaa.mlakini wana sifa ya umwamba fulani hv
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,597 Jan 13, 2016 #33 Hata mm Nina ndevu jamanii...teh!teh!!
Tetramelyz JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 4,369 Reaction score 12,469 Jan 13, 2016 #34 mwanafyale said: S nadhani upo sahihi mkubwa, nina dada yangu ambaye ana akili sana ya maisha, in fact familia bila yeye ni kama haipo Click to expand... Tena nilisikia humuhumu JF kwenye thread fulani hivi, ngoja niitafute.......
mwanafyale said: S nadhani upo sahihi mkubwa, nina dada yangu ambaye ana akili sana ya maisha, in fact familia bila yeye ni kama haipo Click to expand... Tena nilisikia humuhumu JF kwenye thread fulani hivi, ngoja niitafute.......
M Mkempia JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 1,142 Reaction score 462 Jan 13, 2016 #35 Viumbe nyie acheni kuongopeana, mimi nina ndevu haya yote yanasomwema hakuna hata moja lenye ukweli. Ukiacha biolojia pekee.
Viumbe nyie acheni kuongopeana, mimi nina ndevu haya yote yanasomwema hakuna hata moja lenye ukweli. Ukiacha biolojia pekee.
jje's JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 10,886 Reaction score 16,584 Jan 13, 2016 #36 mwanafyale said: Ha ha haaaa.mlakini wana sifa ya umwamba fulani hv Click to expand... nakubali kabisa, namjua mmoja ambaye kwa kweli maisha yake ni mazuri nikimaanisha kipato anacho ila ana misimamo balaaa. Hadi namshangaa kwa kweli, akisema no it means no na hiyo no yake ina manufaa. big up timu ndevu.
mwanafyale said: Ha ha haaaa.mlakini wana sifa ya umwamba fulani hv Click to expand... nakubali kabisa, namjua mmoja ambaye kwa kweli maisha yake ni mazuri nikimaanisha kipato anacho ila ana misimamo balaaa. Hadi namshangaa kwa kweli, akisema no it means no na hiyo no yake ina manufaa. big up timu ndevu.
Luv JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 2,740 Reaction score 6,114 Jan 13, 2016 #37 Yaani naisoma hii mada huku nachezea vindevu vyangu vitatu
Sakayonsa Member Joined Dec 30, 2015 Posts 99 Reaction score 44 Jan 13, 2016 #38 Mkuu ukisoma sana ya huku unaweza kata tamaa maana duh huku kuna watu vivuruge balaa kama. Kuna real love na hajakusumbua wala kukutia shaka Mungu awatangulie.
Mkuu ukisoma sana ya huku unaweza kata tamaa maana duh huku kuna watu vivuruge balaa kama. Kuna real love na hajakusumbua wala kukutia shaka Mungu awatangulie.
jje's JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 10,886 Reaction score 16,584 Jan 13, 2016 #39 nimepata taarifa kuwa hawawez kuishi kwa kunyanyaswa
MIGUGO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,137 Reaction score 3,942 Jan 13, 2016 #40 Kama za traffic zimezidi.Udevu Kama wa Chuck Norris.