Wanawake wenye ndevu wanavutia machoni, katika hisia

Wanawake wenye ndevu wanavutia machoni, katika hisia

Anasema eti Katika hali ya kawaida msichana au mwanamke hatazamiwi kuwa na ndevu kwenye kidevu, juu ya mdomo, kifuani, tumboni na mgongoni Msichana mwenye ndevu nyingi, anavuta hisia na macho ya wanaume na wanawake wenzake pia kiasi kwamba, anatazamwa kwa namna ambayo wakati mwingine inamnyima raha.

Kasema tena sababu za wanawake wengi kuota ndevu ni dosari za ulinganifu katika mfumo wa vichocheo vya mwili halafu wanakabiliwa na hatari kubwa ya kupata magonjwa ya kisukari na moyo.

Kamalizia kwamba Anapaswa kufahamu kwamba ndevu hazipaswi kuwa chanzo cha msongo wa mawazo kwani hali hiyo inaweza kuathiri afya ya mwili na akili. Ndevu zising’olewe kwa vidole. kawataka wasichana kujiepusha na tatizo la kuota ndevu ni kuachana na matumizi ya vipodozi vyenye viambata vya steroidi vinavyoleta weupe bandia wa ngozi na Kufanya mazoezi ya mwili na kudhibiti unene wa mwili. Endapo nywele zimetapakaa kwa wingi miguuni na mikononi na kuleta mwonekano wa kiume, ni bora kuvaa nguo ndefu zinazofunika mwili vizuri. mia

Sasa.......huoni nimeelewa......kwamba nisipake dodo.......ila hapo kuficha vinyweleo muandishi atanisamehe.......who cares na vinyweleo vyangu......sivai nguo ndefu wala nini.........haiwahusu.........
 
Umenikumbusha kwa ex gf wangu alikuwa na unywele huo kifuan hadi kitovun.

Asikwambie mtu mwanamke mwenye udevu ni mtam sio kawaida.

Halafu ubahatike umkute awe mwembamba na ajue kudeka na huo udevu aisee utatelekeza familia
 
Safari hii nikikosa mwenye vinyweleo nijilaumu mwenyewe. hahahaaa...!!!. mia
 
Umenikumbusha kwa ex gf wangu alikuwa na unywele huo kifuan hadi kitovun.

Asikwambie mtu mwanamke mwenye udevu ni mtam sio kawaida.

Halafu ubahatike umkute awe mwembamba na ajue kudeka na huo udevu aisee utatelekeza familia
Mi nawapenda sana. Huwa ni wapole sana, hawajui kuongea. Ukiwaudhi wanalia tu yanaisha. Wanajua kupenda hao! safi sana. mia
 
Wadada wengi wenye ndevu na vinyweleo huwa na k kavu
Original lkn sio vya carolight! !
 
Mimi napenda Mwanamke mwenye ndevu. Akikulalia kifuani zikakugusa zinasisimia kinyama. Halafu huwa wanajua mapenzi na huwa wanabahati sana. Tatizo adimu manake hadi umpate si rahisi sababu wengine wananyoa so sio rahisi kumpata. Mi nikimpata ntamwambia ukinyoa ndevu tutakosana. Mia

Wenye vinyweleo nami nawapenda, wana mvuto, ila kwa mimi ndevu za kidevuni, hawanivutii.
 
Back
Top Bottom