Wanawake wenye miaka 38-48...

Na katika uhalisia wa maisha, ukipata wa age hizi na yuko sawa tena anakuelewa, yuko imara na uwezo wa kubeba mimba na kuzaa hawa ndio wa kuoa. Hawa ndio wakukaa meza moja na kupanga maisha. Wanakuwa ving'ang'azi kwasababu wanakuwa washachoka kuhangaika na wanataka kupumzika zao wafanye maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teyar kawa Mzee Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…