Wanawake wenye matusi

kateli

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
70
Reaction score
28
Hivi mwanamke/msichana anakuwa ana matusi ya kutaja viungo vya uzazi ni tabia gani.

Unakuta mwanamke mzuri mrembo ila akikasirika anamwaga matusi hayaendani na yeye.

Au hata anamtukana mpenzi wake matusi kama wabeba zege wakiwa kazini.

Unakuta ana akili timamu hajalewa ila kidogo tu tusi kwani ni fasheni kutukana?

Wabadilike ndio maana mnabwagwa deile mkiwa na imani mmeibiwa nyota sijui nini?
 
Mwanaume kutukana inapendeza sio?
 
Hahaha, ndo wadada WA kisasa hao. Sio hadi akasirike, Kuna magroup huko ya whatsup mdada anaandika maneno hadi ukisoma unaskia taabu.

ngoja tujiangalizie na uzee huu
 
Hahaha, ndo wadada WA kisasa hao. Sio hadi akasirike, Kuna magroup huko ya whatsup mdada anaandika maneno hadi ukisoma unaskia taabu.

ngoja tujiangalizie na uzee huu

Kama no mixed group can u add me
 
Hahaha, ndo wadada WA kisasa hao. Sio hadi akasirike, Kuna magroup huko ya whatsup mdada anaandika maneno hadi ukisoma unaskia taabu.

ngoja tujiangalizie na uzee huu
Sasa ukutane na wa kizalamo anatukana... Utachoka. Kuna wale wanaotukanaga vitandani... We acha.. Ukimwambia tu nitukanie Evelyn Salt... Atapewa kichambo bila yeye kujijua
 
there is something in common that makes us a group, na huko hakuna matusi. tunaheshimiana na tuko kikazi zaidi. groups za hivyo mie huwa naondoka kimya kimya manake mostly nakuwa na very few interests around there.:music:
Kama no mixed group can u add me
 
kumbe ni kweli eeh? kuna siku mjuba alilalama hapa kuwa mnatembea na wake za watu afu mnawaambia watukane waume zao. nilidhani waswasi wake tu, dooh. sasa na wewe Evelyn Salt akitukanwa unasikia nafuu juu ya hela yake aliyokuchuna afu akakurusha naniliu?
Sasa ukutane na wa kizalamo anatukana... Utachoka. Kuna wale wanaotukanaga vitandani... We acha.. Ukimwambia tu nitukanie Evelyn Salt... Atapewa kichambo bila yeye kujijua
 
Last edited by a moderator:
na wanaume wapo mmh yanawatoka kama maji tena waishio uswahilin ni tatizo
 
na wanaume wapo mmh yanawatoka kama maji tena waishio uswahilin ni tatizo
Weee, wa ushuani nao balaa... Tena utawakuta wanatukana kwa kiinglishi... Maza faka ndo zao sana... Hivi ya ile faki yuu ya kule bungeni ingetakwa kwa kiswahili ingekuwaje...???
 
na wanaume wapo mmh yanawatoka kama maji tena waishio uswahilin ni tatizo

Acha stigma wewe kuna tusi la kiswahili lisilo na maana kwa hao wasio waswahili????!!

Tuorodheshe hapa??????!!!!!!

1. WTF,LMFAO hayo huku uswahilini utayasikia wapi???!!!!

Hata nyie wa kishua mnatukana ila sababu ndio hivyo tena popular culture mnaona poa tu tena mnasikiliza nyimbo za kishua maneno machafu mbele ya wazee wenu! !!!!!!!!!

Uswazi for life!!!!!!!!!
 
Weee, wa ushuani nao balaa... Tena utawakuta wanatukana kwa kiinglishi... Maza faka ndo zao sana... Hivi ya ile faki yuu ya kule bungeni ingetakwa kwa kiswahili ingekuwaje...???

Umeona kaka mkubwa eeenh!!!!!!
 
Yani nna rafiki yangu yuko hivyo huwa ananikera kulika maelezo nimeshajaribu sana kumrekebisha lakini waaapi, lakini nilichogundua watu wa hivyo mara nyingi huwa wanakuwa na wanaume wana aina hiyo hiyo pia na wengine wanakwambia hawakuwa hivyo ila wameambukizwa na wanaume zao
 

Hebu mchunguze vizuri rafiki yaweza kuwa kashaanza ku pee akiwa wima pia kaambukizwa na mumewe!!!!!!
 
Hebu mchunguze vizuri rafiki yaweza kuwa kashaanza ku pee akiwa wima pia kaambukizwa na mumewe!!!!!!

hajaolewa na isitoshe yule ni tabia yake si ya kuambukizwa, na ukimuona ni mzuri balaa huwezi amini ana mdomo mchafu kiasi hicho na akipata mwanaume alie gentleman hawezi tulia nae, anapenda walio pinda kama yeye
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…