Duh, kwa iyo mkuu wife anakuita we msenge leta matako yako hapa na wewe unaenda? Bwege kweli weweJambo la kawaida katika mahusiano,huwa ni utani waliojiwekea ingawa haiathiri mambo ya msingi...kwa mfano mi na wife tuna hiyo staili na maelewano ni mazuri tu na tunaishi zaidi ya 10yrs
ha ha ha jf jamaniDuh, kwa iyo mkuu wife anakuita we msenge leta matako yako hapa na wewe unaenda? Bwege kweli wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha ni kawaida ktk mahusiano na haina madhara kiuchumi na ni lazima atimize wajibu wake kunifulia,kunipikia,kupiga pasi na kunipangia nguo za kuvaa,kuniandalia usafiri,na wakati mwingine tunakula bata mbugani;kwa hiyo ni laifu staili tu.Duh, kwa iyo mkuu wife anakuita we msenge leta matako yako hapa na wewe unaenda? Bwege kweli wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mkuu nimecheka sana, aisee mimi dem kunitusi hata kwa utani hapanaDuh, kwa iyo mkuu wife anakuita we msenge leta matako yako hapa na wewe unaenda? Bwege kweli wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa mkuu vp tena? Naona umekosa tusi la kumtosha ukaamua umuite bwege. [emoji23][emoji23][emoji23]Duh, kwa iyo mkuu wife anakuita we msenge leta matako yako hapa na wewe unaenda? Bwege kweli wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kawaid tu inategemea mazoea yenu yalikuwa vipi,unaweza kumuita we K ebu ilete hiyo kitu,lakini katika kutumia lugha hizo inabidi watoto wawe mbali,na kwa namna moja au nyingine hizo lugha zinaongeza shamsham.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mkuu nimecheka sana, aisee mimi dem kunitusi hata kwa utani hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
Malezi, marafiki,mazingira, aina ya maisha huchangia snaa mtu kua hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Duh, kwa iyo mkuu wife anakuita we msenge leta matako yako hapa na wewe unaenda? Bwege kweli wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Upande wangu mwanamke akishakuwa na lugha ya hivyo ni turn off sana kwangu... hapo hata watoto mtakaopata lazima wawe na matusi ya karibu kitu ambacho sio poaNimewah kuwa karibu na coupe moja ambayo Mwanamke alikuwa na matusi ya karibu aisee... "sjui kwa kuwa alikuwa mlevi?? Maana (ashakhum sio matusi) wanawake wengi walevi ni wataalamu wa kubwatuka" lakini licha kwamba si kila siku alikuwa anakunywa.. Hata alipokuwa Mzima bila kilevi (ukizingatia ni mfanyakaz wa taasisi yenye heshima tu) Ilikuwa ni kawaida kwake kumjibu jamaa ake "we msenge nn?? we fala nini?? Toa matako yako hapa.. hata akipigiwa simu lazima abwagize na tusi.
Aina hii ya Mwanamke mi ilikuwa inanishangaza, licha ya kuwa Walikuwa wanapendana vizuri tu..
Sjui kama kuna Mwanaume anapenda kutukanwa hata kwa utani.. Kwangu isingeweza kukubalika.. Sjui kwenu wakuu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hahaaaaaaa... JF kiburudisho tosha.Duh, kwa iyo mkuu wife anakuita we msenge leta matako yako hapa na wewe unaenda? Bwege kweli wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umenena. Ile ni faragha, so no offenseKwenye kupigana miti tunatukanana sana hasa mtanange unapokuwa umekolea ile ilee, lakini sio ktk hali ya mawasiliano au mazungumzo ya kawaida aseee