we M.E.M.A ina maana sie ambao majina hayaanzii na A hatuna akili na tunakufa mapema?
Yenye herufi "a" hata liwe
Kati na mwisho. Mimi naona wanakuwa wazuri sana

Nasema hiviii...utafiti unaonesha kuwa wanawake wenye majina ya kwanza yanayoanza na herufi A wanatajwa kuwa ni wazuri zaidi, wana akili sana na wanaishi muda mrefu zaidi. Pole sana ewe mwenye V Valentina
kama ndo hivyo sipati picha kwa wanaoanzia na Z
Mi sijaelewa,naomba urudie. Tehe tehe