Wanawake wengine .......

Wala hata sikushtukaaa nilibyedaa nikaona ni vidampa tu maana sitishikiiii wakati nazaliwaa nilianzishiwaa kuogeshewaa maji yaliyochanganywaa na asalii sina shidaa

nijuze Dinazarde maji yaliyochanganywa na asali inakuwaje nimuogeshee kidume changu?!
 
Hahahahhhha walaaaaa siwezi hisiiii

mwangalie sana huyo Evelyn Salta si unajua tena toto za kisukuma nyeupeee imefungasha nyuma kamaa nn halafu inakulembulia jicho hlo hahahaaa! Hapo hata kama mwanaume alikuwa mwaminifu vp kwa mke wake lazma achepke tu... Huyu mtoto ni mkaree balaa atamaliza akaunt za watu
 
Last edited by a moderator:

Unanisifiaaa weeee nkikuomba hela unatoka nduki...
 
Nshaona watata zaidi yako na wanaliwa mchana kweupeee
kisha wanapewa buku mbili ya bodaboda

hahahaaaa! Aaa! Nyie watu kiboko hapa mnanivunja mbavu.... Kwahyo yeye na ww nani mgumu? Ili mm nipate palipo lain ndio nizame staki shda mm
 
Nshaona watata zaidi yako na wanaliwa mchana kweupeee
kisha wanapewa buku mbili ya bodaboda

Hahhhhahhhhhahhhhahahhha au wananunuliwa chipsi mojaa na bia imewatoshaaa hahhhhjhhha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…