Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,437
Jana kama ilivyo ada mimi na mwanangu (pamoja na mke wake) tumeenda sehem inaitwa kibo biznenga (maarufu sana kwa nyama nyuma ya best bite)
Ile kuingia tu pemben walikaa watu watatu! Jamaa mmoja na wadada wawili. Sasa mmojawapo ya wadada hao wawili jamaaaaaaniiii!! Ana sura nzuri huyo mdadaa!!! Macho mazuri!!! Figure nzuri!!! Rangi nzuri!!!
swali ni je kuna watu wengine walijichagulia maumbo!!!?
Kama mauti ni nyumba mbona tungekufa wengi.wanaumeeeeeeeeeeee tamaa mbele mauti nyumba
You can have an imaginary picture of me on your head ha ha haHahaha....hebu weka picha basi wengineo tupate kula...si ndo neema za allah
wanaumeeeeeeeeeeee tamaa mbele mauti nyumba
Kama mauti ni nyumba mbona tungekufa wengi.
anza kuandaa talaka maana haiwezekani uone mwanamke mwinginwe ni mzuri kuliko mkeooooooo
Jana kama ilivyo ada mimi na mwanangu (pamoja na mke wake) tumeenda sehem inaitwa kibo biznenga (maarufu sana kwa nyama nyuma ya best bite)
Ile kuingia tu pemben walikaa watu watatu! Jamaa mmoja na wadada wawili. Sasa mmojawapo ya wadada hao wawili jamaaaaaaniiii!! Ana sura nzuri huyo mdadaa!!! Macho mazuri!!! Figure nzuri!!! Rangi nzuri!!!
swali ni je kuna watu wengine walijichagulia maumbo!!!?
Kama huna cha kuandika tulia kimya. Nyamaza kabisa. Soma michango ya wenzako.
Kuoa hakuondoi uzuri wa wengine...Seriously married? I dont think so!!
Uzuri wa mtu upo machoni mwake ........kwangu aweza kuwa kituko
You can have an imaginary picture of me on your head ha ha ha
Jana kama ilivyo ada mimi na mwanangu (pamoja na mke wake) tumeenda sehem inaitwa kibo biznenga (maarufu sana kwa nyama nyuma ya best bite)
Ile kuingia tu pemben walikaa watu watatu! Jamaa mmoja na wadada wawili. Sasa mmojawapo ya wadada hao wawili jamaaaaaaniiii!! Ana sura nzuri huyo mdadaa!!! Macho mazuri!!! Figure nzuri!!! Rangi nzuri!!!
swali ni je kuna watu wengine walijichagulia maumbo!!!?
Kama hapo kibo, huyo atakuwa Halima Hussein, mdogo wake na Mohamed Hussein Daima a.k.a mmachinga
Hebu tupia picha yake tuone kama kweli ni mzuri, maana wengine mna makengeza ya kuona. Tisa inasomeka kama nane.
Macho hayafilisi duka ati!
Mkuu unamfahamu sio? Nipm bas more details!