Wanawake wengine ni mumiani

Mkuu hili huwa nalisikia sana ila sijajua kuna mahusiano gani kati ya kuwa na mwanamke pamoja na fursa nyingine za kimaisha.
 

kwahyo 2we 2natest kwanza mkuu.
 
Haaaaaaaaa haaaaaaahh ni hatare basii wapogo wa vice versa na hiyo...
 
ThreD kama INA ukweli ndan yake!
 

Teh teh teh
 
hata wanaume wapo wa aina hiyo yaani ukiolewwa nae unakufa, wengine wakikuoa kama ni kazi unajikuta unaacha, hela hupati afu cha ajabu yeye anakuwa ana pata baraka lkn wewe hupati.

tena huyu akikuoa hata marafiki unakosa, biashara unashindwa kufanya unabaki kama fenicha tu ndani.

mwanaume mwingine ukitoka nae tu baasi wewe utaanza kupoteza mara simu, mara ugonge gari, mara mikos tuuu yaani ni shida

mie nafkir kuna watu ambao wako na hizi nuksi kabisa katika maisha yao
 

kuna wanaume wa aina hiyo pia tena mtu mwenye nuksi utakuta yeye mambo yake yanaenda vizuri sana ila aya mkewe ndo hayaendi kwasabab mume hutembelea nyota ya mke na mke kutembelea nyota ya mume. Katika mbadilishano huo ukiona kwako mambo ni mazuri basi ujue mkeo ana nyota nzuri na ukiona mkeo mambo yake hayaendi basi ujue wewe mume ndo una gundu kwa mkeo
 

Imani potofu tu hizo.
 
kweli Una maono, mafunuo na maunabii makali.
Bado uko Kimara tuje tugonge hard zetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…