Wanawake wengine hawajui kusamehe

RIP ROB...atazikwa na Pastor aliyempigia goti...PASTOR atatoa ushahidi wa Kusameheeee
 

Kila mtu anajijua moyo wake, usiusemee moyo wa huyo mama. Sawa ndoa wanaishi kulingana na mapatano yao anajijua sijui ya kulea watoto n.k hatujui. Kama ulivyosema jela anaijua mfungwa basi huyo mwanamke anajua jela yake na akafanya anavyoona sawa. Wanaume mnataka kulaumu wanawake bure wakati ninyi ndio chanzo cha kuharibu ndoa na familia zenu. Swali jepesi tu huwa watu wanapochepuka wanakumbuka wana familia na kwamba anaweza kuua mtu kwa ukimwi? Kwa starehe zenu na hapa hamtaki mwanamke afanye maamuzi kwa matakwa yake.
Huwezi kulazimisha kusamehewa au kupendwa, ni mambo binafsi ya moyo wa mtu. Hata kama kusamehe kuna faida kubwa lakini kama ameshindwa kurudi kuishi na huyo bwana basi maana kumsamehe mtu sio lazima waishi wote.
 
Mmmh basi hii stori imeletwa nusunusu.its like wife hana hatia!!!very sorry
 

I agree kabisa

Binafsi I dont understand inakuaje mtu unapomtendea mtu ubaya hukumbuki verses za kwenye biblia ila utaskia samehe saha mara sabini after kutenda kosa

Hapa some are acting like forgivers all the way wakati ukiuliza ni wangapi wapo na boyfriends or girlfriends or wenza zao wa mwanzo wengi hawapo wote kwasababu waliwatendea vitu wakashindwa kuvumilia
Sijui what made her not go back to him ila labda na yeye uvumilivu ulimshinda, kusamehe na kuvumilia ni tofauti.
Nawaonea huruma watoto but at the end of the day what happened to the guy is not her fault.
 
Siri ya mtungi ajuae ni kata; what we can do just reading the posts and comment our own opinions that all!

 
Pesa ndogo
Umenena vyema. Na ieleweke aliyemuua si mkewe ni ajali kutoka na guility concious yake. Kasamehewa mara ngapi na mkewe? Kwann alikiwa akirudia? Alifikiri mwenzie ana moyo wa chuma , yy ndiye mwenye wa nyama na damu?
 
Jmn haya mambo tuyaache kwani vitabu vya imani vinatuambia hukumu na visasi ni juu yake yy muumba, lkn wanaume jueni kuwa wanawake nao wanaumia japo wanasamehe ht pale ambapo ninyi ingekuwa ngumu sn kusamehe
 
dah....RIP Rob......

angemsamehe tu.....ingawa sijui alifanywa nini.....lakini mbona sie tunamkosea sana Mungu na yeye anatusamehe......
 
Pesa ndogo
Umenena vyema. Na ieleweke aliyemuua si mkewe ni ajali kutoka na guility concious yake. Kasamehewa mara ngapi na mkewe? Kwann alikiwa akirudia? Alifikiri mwenzie ana moyo wa chuma , yy ndiye mwenye wa nyama na damu?


Mungu aliposema samehe 7×70 alikuwa ana maana....alijua sisi si wakamilifu.....tunakosea.....ila yatupaswa kuomba msamaha.......angesamehe tu kwani angepungukiwa na nini.....
 
Nimekumbuka mbali sana.
One of my true story to JF!!

Keep Resting Well Brother Rob.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…