Wanawake wengine hawajielewi kabisa

Dunia inapambana na Single Mama's kama inavyopambana na magaidi.

Natamani kujua hivyo vihela ulivyompa ni kiasi gani hadi utokwe macho kama unafanyiwa tohara ya kienyeji.
[emoji3][emoji3][emoji3]kmmk
 

Aliyokufanyia ni vile alivyokuchukulia jinsi alivyokuona siku ya kwanza,
 
uyo mbona amekustahi sanaaa...ujakutana na wale wanaopaka tomato au kumwagia juice ya rozella kwenye taulo za kike kisha kuvaaa lengo akikwambia leo sijisikii, ukilazimisha unakutana na pad yenye tomato/rozella [emoji23] [emoji23]
Ayeee[emoji1787][emoji1787]
 
Kuna wanawake huwa nawakimbia mapema kabisa nikiona kichwa maji hata kabla sijapewa mzigo.

Huwa sitaki kelele za nimemuacha kisa nimepewa mzigo!
 
Hivi mnadanganywaje hadi mnaanza kutoa hela hata kabla hamjawatafuna, hao wanahitaji uende nao kwa formula zote mbili ya kushambulia na kudefence
Umenifanya nicheke sana kushambulia na defence ahhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…