Wanawake wengine hawajielewi kabisa

We ulifata nini wakati mwenzako alimshindwa!

Well hawa watu walio wengi wangependa kupata uhusiano mpya wenye furaha, tatizo ni kua wana expectations ambazo zingine haziendani na nyie vijana ambao mnataka gegedo cheaply!

Pia ujue baadhi wameumizwa so inabidi ujitahidi usiwatoneshe! Sema na wewe huoni vijana wenzio[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Huwezi jua kilichopelekea yy kuwa single mama, anaweza akawa amejiapiza kuwapiga vibomu wanaume wote watakaomtongoza na hatoi mzigo.
 
Comment ziwe fupi fupi tafadhali, tuokoe muda.
 
""Kabla ya hata siku ya kupima oil, nikaanza kupigwa mizinga. Mara hela ya saloon, mara vocha! Nikawa natoa nikijua hatimaye na mie nitapozwa.""

Hapa ulielewa?
 
Pole Sana..ukimpata single mom usiwe na papara....Sio vibaya ukakutana na ex wake ili akushauri ipasavyo..
 
hiyo ni kawaida sana .... sasa na wewe kwanini uliamua kununa gazeti la jana ambalo wenzio walisha lisoma hadi wakalichoka...ivi ni kweli siku hizi hakuna kabisa magazeti mapya...?
 
""Kabla ya hata siku ya kupima oil, nikaanza kupigwa mizinga. Mara hela ya saloon, mara vocha! Nikawa natoa nikijua hatimaye na mie nitapozwa.""

Hapa ulielewa?
Sasa si alitaka apendeze kama ulivyomwona ukavutiwa halafu apate na airtime muwasliane?
Mahusiano gharama buana na ukiona hugharamii ogopa kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…