Wanawake wengine bhna...

Kuvamia mji kubaya... hawa wakionwa na wauza sembe wanakuwa punda ghafla.. Maana wanaonekana ninwapenda maisha ya juu na kufuata mkumbo

 
#RGforever , machoni pako anakera ila kwa wengine ni kipusa hicho

Usiwasesmee wengine

Kujitambua ni kitu muhimu Sana...... Ndo maana wewe hutembei uchi. Sasa hebu waangalie hao inaonyesha hawana watu wa Karibu wa kuwashauri... bali wana watu wale ambao hawajli
 
Self esteem ni jambo muhimu sana..... Sasa tuseme kaazima au???

 
Jamani yatupasa kujua kuna wanawake bora,,hawa ni bora wanawake.
 
Ni kweli kabisa kwa jambo la kujitambua

Ila si huyu tu anae vaa hivyo hata viongozi wetu wa ngazi za juu kabisa hutokelezea na vijivazi vya nusu u.c.h.i.

Na kuna wanaume wanao toka nao pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…