Wanawake wengi wazuri wenye mvuto wanauza Bar! Kwanini hawaolewi na kuwekwa ndani??

Ngoja nisindikize post kwa picha
be06a16883dea2e77255d3a83aec8090.jpg
Huyoo msichana nimdogo sana katokea mtaani kwetuu kakua namuona kasoma ololooo sec. Alizugwa na kipete cha uchumba akazalishwa akatelekezwa kwa babaake ndo akaona fursa anapambanaa. Ilaaa mashauzi yalikuwa on point enz hizoo anatupitaa tuu akiwa na baby daddy wake sahiv sisi ndo tunamuagiza lente kindoo na barafu zakee
 
Hili jambo nimejiuliza juz tuuu, maaana hapa kwa Emma kariakoo kuna vimwana weupeeeeee, beautiful kwelikweli lakini, sijajua tatizo nn

Tatizo ni wewe ulivyochomekea na tai kwenye avatar yako.

Yaani, bado unakula raha na warembo wa kila mtaa umeshindwa kuchagua mmoja ukaweka home kwako.

:):):):D:D:D:D
 
Nlikua bar moja leo imefunguliwa Kimara B kama unaenda Tembon kituo cha Polis. Jamani, sidhan kama ntaoa duuuuu, those weren't bar maids but Angeles.
 
Zipo possibilities mbali mbali:-

1.walitendwa vibaya na wanaume zao.
2.waliwafanyia vibaya waume zao.
3.wana familia na uwepo wao hapo bar ni kama vile wako safarini.
4.kuwa karibu na wanaume wenye pesa zisizo na kazi.(kuchuna).
5.kuburudisha Wateja/kuvutia biashara kwani ni mojawapo ya masharti ya ajira yao.
6.kutafuta nafasi nyingine ya mahusiano mapya.
7.wakati mwingine si wote wahudumu,wengine wapo kwa kazi maalum.
 
Salaam wakuu
Mada tajwa yahusika
Tangu Jana nipo Bar nimezunguka Bar nyingi Sana hapa mjini Mwanza yani nahama bar hii naingia hii hasa zile High class kama Villa,DV8, Gold crest,na nyingine nyingi
Sasa nlichokigundua Bar nyingi hapa nlipo na Tanzania mzima zina wanawake wazuri wanaotoa huduma Kwa wateja but najiuliza Kwa uzuri wao Kwa nini wasiolewe wakawekwa ndani badala yake wanaishia kwenye maisha ya kuchezewa makalio,kutukanwa na kudharauliwa?
Cha ajabu wale wanawake tunaowaona wabaya ndo tunawaoa na kuwaweka ndani na kufanya nao maisha
Ukiangalia matajiri wengi,wanasiasa ,wasomi,Wafanyabiashara wakubwa wameoa wanawake ambao kimtazamo ni wa kawaida Sana
Je hawa wanawake wa bar ambao wanasifa zote nzuri za kimaumbile ambazo wanaume tunazitaka Kwa nini hawaolewi??
Ukishalewa kila mtu unamuona mzuri. ...jumapili nenda kanisani nako. ...
 
Mi nawapenda wale wa kwenye zile zinazoitwa matako baa ambazo zimezagaa karibu kila mkoa hapa nchini, yani hao kukuachia umfumue marinda wala haoni tatizo
 
Salaam wakuu
Mada tajwa yahusika
Tangu Jana nipo Bar nimezunguka Bar nyingi Sana hapa mjini Mwanza yani nahama bar hii naingia hii hasa zile High class kama Villa,DV8, Gold crest,na nyingine nyingi
Sasa nlichokigundua Bar nyingi hapa nlipo na Tanzania mzima zina wanawake wazuri wanaotoa huduma Kwa wateja but najiuliza Kwa uzuri wao Kwa nini wasiolewe wakawekwa ndani badala yake wanaishia kwenye maisha ya kuchezewa makalio,kutukanwa na kudharauliwa?
Cha ajabu wale wanawake tunaowaona wabaya ndo tunawaoa na kuwaweka ndani na kufanya nao maisha
Ukiangalia matajiri wengi,wanasiasa ,wasomi,Wafanyabiashara wakubwa wameoa wanawake ambao kimtazamo ni wa kawaida Sana
Je hawa wanawake wa bar ambao wanasifa zote nzuri za kimaumbile ambazo wanaume tunazitaka Kwa nini hawaolewi??
Nipo na wife bar dar nashindwa jibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom