Wanawake wengi wazuri wenye mvuto wanauza Bar! Kwanini hawaolewi na kuwekwa ndani??

Wengi wao wamevunja ndoa zao. ..ingawa kiheshima hiyo nayo ni kazi km kazi nyingine lakini wengi wao wanakuwa wapo mtegoni kuwanasa walevi wa pombe na wanawake ...yaani marupurupu ni mengi kulikoni mshahara.
 
Ngoja nisindikize post kwa picha
be06a16883dea2e77255d3a83aec8090.jpg
Mkuu hii bar inapatikana maeneo yepi?
 
Weka picha tuamini. Ila wamiliki wengi wenye bar hutangaza kazi na huchagua warembo kwani ni kivutio ktk bar.
 
Wengine wameolewa mkuu, ila sababu waume zao hawana full control wanajikuta wanawaruhusu wake zao wawe ma-barmaid........
 
Weka picha tuamini. Ila wamiliki wengi wenye bar hutangaza kazi na huchagua warembo kwani ni kivutio ktk bar.
Amini iko hivyo hata wateja wenyewe huingia bar yenye wasichana warembo kwa hiyo wamiliki lazima wafanye usaili kwa kuzingatia kigezo cha sura na maumbo mazuri ya ma bar maid.
 
Salaam wakuu
Mada tajwa yahusika
Tangu Jana nipo Bar nimezunguka Bar nyingi Sana hapa mjini Mwanza yani nahama bar hii naingia hii hasa zile High class kama Villa,DV8, Gold crest,na nyingine nyingi
Sasa nlichokigundua Bar nyingi hapa nlipo na Tanzania mzima zina wanawake wazuri wanaotoa huduma Kwa wateja but najiuliza Kwa uzuri wao Kwa nini wasiolewe wakawekwa ndani badala yake wanaishia kwenye maisha ya kuchezewa makalio,kutukanwa na kudharauliwa?
Cha ajabu wale wanawake tunaowaona wabaya ndo tunawaoa na kuwaweka ndani na kufanya nao maisha
Ukiangalia matajiri wengi,wanasiasa ,wasomi,Wafanyabiashara wakubwa wameoa wanawake ambao kimtazamo ni wa kawaida Sana
Je hawa wanawake wa bar ambao wanasifa zote nzuri za kimaumbile ambazo wanaume tunazitaka Kwa nini hawaolewi??
Walijiona wazuri sana wakawa na maringo wanamegwa na wenye pesa ambao walikuwa tayari na wake zao,wakamegwa na vibrazamen visivyo na mpango wa kuoa.Walikuja stuka wameshapigwa mimba ,na shule walicheza darasani wengine nyumbani wakafukuzwa kwa hyo njia pekee ikawa kuuza har.
 
Inasikitisha sana...

Ni kwa sababu wanaume tunaogopa kuwaweka ndani kwa nadharia kwamba ni rahisi kusalitiwa... Badala yake wanaishia kuchezewa kama ulivyosema...

Hata maofisini ni same... Wale wanawake wanaoonekana wazuri kupindukia kwa mtazamo wa watu, wengi wapo single wanahangaika kutafuta ndoa...

Cc: mahondaw
 
Salaam wakuu
Mada tajwa yahusika
Tangu Jana nipo Bar nimezunguka Bar nyingi Sana hapa mjini Mwanza yani nahama bar hii naingia hii hasa zile High class kama Villa,DV8, Gold crest,na nyingine nyingi
Sasa nlichokigundua Bar nyingi hapa nlipo na Tanzania mzima zina wanawake wazuri wanaotoa huduma Kwa wateja but najiuliza Kwa uzuri wao Kwa nini wasiolewe wakawekwa ndani badala yake wanaishia kwenye maisha ya kuchezewa makalio,kutukanwa na kudharauliwa?
Cha ajabu wale wanawake tunaowaona wabaya ndo tunawaoa na kuwaweka ndani na kufanya nao maisha
Ukiangalia matajiri wengi,wanasiasa ,wasomi,Wafanyabiashara wakubwa wameoa wanawake ambao kimtazamo ni wa kawaida Sana
Je hawa wanawake wa bar ambao wanasifa zote nzuri za kimaumbile ambazo wanaume tunazitaka Kwa nini hawaolewi??
Kaka unaongelea uzuri wa umbo au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom