Wanawake wengi wazuri wenye mvuto wanauza Bar! Kwanini hawaolewi na kuwekwa ndani??

Wanawake warembo au wazuri wanaolewa wa wanaume wenye akili zao timamu kama mimi....ukiona mwanaume anaogopa kuchukua mwanamke mzuri huyo ni type yako...usilinganishe watu....mimi niliweka nadhiri tangu utotoni kwamba sitaolea shida yaani sitaoa mwenzi wa maisha.... ndoa ni mara moja chagua kitu cha NGUVU
 
uzuri wa mtu uko machoni pako hao wasichana wa bar wengine wanawaona wabaya na kuona wake zao wazur
 
Tatizo wengi wao walikuwa vilaza shuleni. Wakategemea sehemu zao za siri zitawatoa kimaisha + uzuri wa sura zao.

sio kwamba walikuwa vilaza bwana....wewe mwanamke mzuri anatongozwa kila leo obviously itafika sehemu atakubali watu wamle papuchi na mwishoe masomo nao yanachukua njia yake.
sasa wakawaida akitongozwa leo ndio mpaka miezi 7 ipite ndio atongozwe tena...inabidi tuu apige buku hamna jinsi
 
Watu wanaogopa kumiliki shamba la miwa alafu azungukwe na shule.pia uzuri w mwanake sio .....ni tabia. Jiulize Kwanii wapo huko?
Amanikullaya kula tano!!!!!!mbali na sababu nyingi,lkn Ukweli kuoa mwanamke mwenye mazuri mengi ya kutamanisha macho,NI STRESS TUPU!maana hata kama hana tabia za kuchepuka,atachepuliwa tu!
 
Inategemea na maana ya ''mwanamke mzur'' kwa upande wako ili kupata kukubaliana au kupingana na mada hii
 
Ngoja nisindikize post kwa picha
be06a16883dea2e77255d3a83aec8090.jpg
yaan kama huyo alotugeuzia mgongo unamla tig.o viziru sana mAana anahamasisha balaa
 
Salaam wakuu
Mada tajwa yahusika
Tangu Jana nipo Bar nimezunguka Bar nyingi Sana hapa mjini Mwanza yani nahama bar hii naingia hii hasa zile High class kama Villa,DV8, Gold crest,na nyingine nyingi
Sasa nlichokigundua Bar nyingi hapa nlipo na Tanzania mzima zina wanawake wazuri wanaotoa huduma Kwa wateja but najiuliza Kwa uzuri wao Kwa nini wasiolewe wakawekwa ndani badala yake wanaishia kwenye maisha ya kuchezewa makalio,kutukanwa na kudharauliwa?
Cha ajabu wale wanawake tunaowaona wabaya ndo tunawaoa na kuwaweka ndani na kufanya nao maisha
Ukiangalia matajiri wengi,wanasiasa ,wasomi,Wafanyabiashara wakubwa wameoa wanawake ambao kimtazamo ni wa kawaida Sana
Je hawa wanawake wa bar ambao wanasifa zote nzuri za kimaumbile ambazo wanaume tunazitaka Kwa nini hawaolewi??
Mkuu umejuaje kama hawana waume?umesema baa za high class Ina maana wateja nao ni high class,sasa wanashikaje kalio la muhudumu,au mafaili yamachanganyika!
 
Hakuna wanawake wanouza bar Bali wanawake wanowahudumia wateja vinywaji... Wakiuza bar nahisi ndio mwisho wa kazi
 
Hataa wao wameolewa na wanafamiliaa zao kushikwa sijui wap nakutukanwa ni sehemu ya kazi ukimkutaa nyumban na familia yake huwezi kubali kama ndo yule unaemkuta bar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom