bissmark marktosh
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 233
- 47
Wakati unafanya maisha yako kama kijana wakiume nivema kuwekeza akili zako ktk swala la kimaendeleo iwe umesoma hujasoma lakini malengo yako ni mafanikio watakuja wenyewe tena waliosoma zaidi yako pengine kwa kuona vile ulivyomjasiria Mali mzuri pengine kushinda yeye aliye na kadigrii ulichopata kupitia guest na mafanikio bila kuoa au kuolewa na msomi yapogo tu