Wanawake wengi wanategemea wanaume kuendesha maisha yao

Wanawake wengi wanategemea wanaume kuendesha maisha yao

Tenda wema nenda zako.....!!

Huwa nashangaa kwa upande wangu...! Sijui pesa yangu haina Baraka....! Sijui ndio ile pesa wanasema ina Gundu....!

Kuna wakati najiuliza labda ni zile njia ninazopitia kupata pesa hiyo, pengine ni Mkosi mtupu..

Wengi wa Mademu ninao wapa pesa/hela yangu, wengi huwa hawana cha maana wanacho ifanyia...!!

Pesa yote wanaimalizia kwenye kujiremba na kujikwatua kwa mapambo mbalimbali...!

Moyoni huwa nawacheka sana, kwani wanajikuta kwangu wanageuka Watumwa wa Ngono na Binaadamu wasio weza kumaliza ama kutatua matatizo yao ya Msingi...!

Ni tabia chafu sana hii kwa Wadada.

Hakuna/hawana tofauti na wale Malaya wanao jiuza barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada wote wa kibongo wanategemea wanaume kuendesha maisha yao.....hili halina mjadala.
 
You are wrong, yani mbumbumbu kabisa, kwa taarifa yako hapa mjini Hakuna mwanamke wa hivyo, wengi tunajitegemea na Hakuna anae run Marsha yetu, labda wakoromije wenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kumsaidia demu wako vizuri ni kumuoa tu.

Maana najua tunashindwa kuwasaidia kwa kuhofia kuachwa mbeleni. Na si kwamba tunashindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla hujapiga ushapigwa mwisho wa siku wote tumepata, hata ukisepa haiusu .
 
Kuna utafiti nimeufanya nimegundua japo sio wote ila wadada wengi hapa mjini wanategemea sana wanaume kuendesha maisha yao .......

Wadada wengi ukiwa katika mahusiano nao vitu kama vile kodi ya nyumba,hela ya saloon, vocha,hela ya kula,hela ya umeme n.k vyote wanategemea toka kwa wanaume ndio wagaramie hivyo wanavyotupiga mizinga inabidi tuwe wapole maana njaa imekuwa kali hivyo hata sisi wanaume tukiombwa hela tukubali kutoa.

Lakini pia upande wa pili sisi wanaume unapokutana na mdada wa aina hii kanuni ni moja "PIGA USEPE ZAKO UKISEMA UWEKE MAJESHI AU UJIFANYE UMEPENDA SANA UTAKUFA NA STRESS TUU PIGA KIMBIA KAMA HUWEZI KIMBIA MAPEMA .

MAANA DEMU ANAKUTEGEMEA WEWE UENDESHE MAISHA YAKE SASA KAMA UNA HELA ZA MAWAZO KAA MBALI NA MADEMU AINA HII SISI WENGINE TUNAPIGA NA KUKIMBIA .

chama langu wapigaji family tikutane f
hapa
 
Videmu vya kibongo akili yao yote imekaa kulelewa na kuig maisha. Hawataki kufanya kazi ila wako bize Instagram na facebook kujiuza na kutambiana pamoja na kufuatilia maisha ya wengine.
 
Videmu vya kibongo akili yao yote imekaa kulelewa na kuig maisha. Hawataki kufanya kazi ila wako bize Instagram na facebook kujiuza na kutambiana pamoja na kufuatilia maisha ya wengine.
Wakishakataringi wanahama mtaa unawakuta wanauza chapati huku uso mwekundu kama wamekamuliwa ndimu.
 
Wakishakataringi wanahama mtaa unawakuta wanauza chapati huku uso mwekundu kama wamekamuliwa ndimu.


Umeona enheeee. wao wanafiki unachngu ni kazi kumbe wanachezewa tu. Kuna demu mzuri kishenzi wa sura wa Bongo mobie....huyu demu anasikitisha kinoma. Alichezewa sana na mijamaa ya mjini kwa kumfila mpaka sasa ana bonge la shimo kunako makalio na jamaa hawana mpango naye. Siku hizi anagawa tu kalio kama hana akili maana hana tena jinsi, afanyeje.
 
Back
Top Bottom