Wanawake wengi wanategemea wanaume kuendesha maisha yao

Wanawake wengi wanategemea wanaume kuendesha maisha yao

Kama umeamua kumsaidia sio lazima umgegede mkuu
Wanasaidiwa wao ni special group??? Hii imekuwa inawafanya wadada wadhaniwe wao ni wakusaidiwa hawatambui huwa wanajinyanyasa wenyewe..[emoji53][emoji53]
 
Kuna utafiti nimeufanya nimegundua japo sio wote ila wadada wengi hapa mjini wanategemea sana wanaume kuendesha maisha yao .......

Wadada wengi ukiwa katika mahusiano nao vitu kama vile kodi ya nyumba,hela ya saloon, vocha,hela ya kula,hela ya umeme n.k vyote wanategemea toka kwa wanaume ndio wagaramie hivyo wanavyotupiga mizinga inabidi tuwe wapole maana njaa imekuwa kali hivyo hata sisi wanaume tukiombwa hela tukubali kutoa.

Lakini pia upande wa pili sisi wanaume unapokutana na mdada wa aina hii kanuni ni moja "PIGA USEPE ZAKO UKISEMA UWEKE MAJESHI AU UJIFANYE UMEPENDA SANA UTAKUFA NA STRESS TUU PIGA KIMBIA KAMA HUWEZI KIMBIA MAPEMA .

MAANA DEMU ANAKUTEGEMEA WEWE UENDESHE MAISHA YAKE SASA KAMA UNA HELA ZA MAWAZO KAA MBALI NA MADEMU AINA HII SISI WENGINE TUNAPIGA NA KUKIMBIA .
mwanaume mwoga hafai kwa karne hii ya 21

ukila vya watu lazima na vyako viliwe

mwanaume bure wewe
 
Mi sioni kama kuna shida ikiwa wanaoombwa wanaridhia kwa mioyo yao wenyewe kuwafanyia yote hayo.

Mbaya ingekuwa wanashikiwa fimbo kumbe wanatoa wenyewe. Khaa.

Waacheni tu wadada wa watu na siku zote wajinga ndio waliwao.
Hahahaha mapenzi yana rani dunia acha iwe hivyo, ila sentensi ya mwisho hapo ndio sababu ya msingi inafanya mtu analalamika ili hali hajashurutishwa kufanya hivyo.........dadake nakusalimia pia
 
Pole sana..
Hapo mwisho ndiyo ukweli wote...

" kama una hela za mawazo kaa mbali na mademu...."

kwa ambae hana pesa za mawazo ni ufahari kumuhudumia mwanamke wake...

Mimi binfasi i don't mind mwanamke akinitegemea naona sawa tu...


Cc: mahondaw
 
Hahahaha mapenzi yana rani dunia acha iwe hivyo, ila sentensi ya mwisho hapo ndio sababu ya msingi inafanya mtu analalamika ili hali hajashurutishwa kufanya hivyo.........dadake nakusalimia pia
Umeonaee. Hakuna haja ya kulalamika ikiwa moyo umeridhia.

Nashukuru kaka ake mi sijambo mzima wa afya. Nina imani nawe umzima pia.
 
Umeonaee. Hakuna haja ya kulalamika ikiwa moyo umeridhia.

Nashukuru kaka ake mi sijambo mzima wa afya. Nina imani nawe umzima pia.
Ni kweli huwezi kulalamika ikiwa unatoa kwa kuridhia pasipo shuruti.......... Mi pia niko njema nashukuru sana.......nikutakie asubuhi njema na kazi njema dadake emmyta
 
Pole sana..
Hapo mwisho ndiyo ukweli wote...

" kama una hela za mawazo kaa mbali na mademu...."

kwa ambae hana pesa za mawazo ni ufahari kumuhudumia mwanamke wake...

Mimi binfasi i don't mind mwanamke akinitegemea naona sawa tu...


Cc: mahondaw


Tehtehteh. watu na pesa zao my king.
The world is not fair at all. wakati yeye analia lia wengine mnakosa pa kuzitumia Hahahaah mpo self contained lol .yeye apambane na hali yake tu hakuna namna

Thank you for loving and caring about me Smart911 you make live. yes I live a life, classic one


Mahondaw wa Smart911
 
Kweli kabisa. binafsi namtegemea mfalme wangu 99% and he's there for me. Nikose nini kwake?


Mahondaw wa Smart911
 
Ni kweli huwezi kulalamika ikiwa unatoa kwa kuridhia pasipo shuruti.......... Mi pia niko njema nashukuru sana.......nikutakie asubuhi njema na kazi njema dadake emmyta
Ahsante kaka ake na kwako pia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tehtehteh. watu na pesa zao my king.
The world is not fair at all. wakati yeye analia lia wengine mnakosa pa kuzitumia Hahahaah mpo self contained lol .yeye apambane na hali yake tu hakuna namna

Thank you for loving and caring about me Smart911 you make live. yes I live a life, classic one


Mahondaw wa Smart911
Anything for you my love...
 
Kuna wanawake wana tabia na tamaa za kipumbavu tu, anaweza akawa na kipato lakini akategemea hela za wanaume kama hana kipato vile,
Ni vizuri ukatambua mwanamke yeyote ukiona mara nyingi anapenda kukuomba hela mara kwa mara zisizo na sababu za msingi,
kwanza tambua hakupendi hata kama anakuvulia chupi na pili kakuona mjinga mjinga fulani!!
Kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume hakimbii majukumu na kumtunza mwennza na familia yako ni jukumu lako pia.

Kama hutaki kutoa pesa vaa sketi wanaume halisi tutakutunza na wewe.

Naweza saidiana na mwenza wangu ila lazima nitoe zaidi na Lazima nimuhudumie nisipofanya hivyo sio mwanaume. Vijana fanyeni Kazi au vaeni sketi kama hamtaki kufanya wajibu wenu sio kulalamika lalamika kama mabinti
Asanteee sanaa[emoji11][emoji11][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom