Wanawake wengi wanahamasisha nyumba ndogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wengi wanahamasisha nyumba ndogo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzalendo Mkuu, May 19, 2011.

 1. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wanawake wengi wanachangia sana kwa waume zao kuwa na vidumu aka nyumba ndogo. Mkiwa pamoja mwanamke ana visababu vingi sana vya kumfanya asiwajibike. Hivyo inawafanya wababa watoke (kidooogo) ili kurekebisha afya zao. Of course huko kwenye vidumu hakuna kulala maana kujituma kwao ni kwa kwenda mbele maana wanajua juhudi yake itamfanya urudi kwake. Amkeni wamama.
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  na nyinyi MPO PARFECT kwa wake zenu wasitoke nje?
  mnayotakiwa kufanya yote mnafanya ndo mana wanatulia home ?


  kwenye kutoka nje akuna justfcation kutoka ni kutoka..km kuna pbm asi muelezane ..ukienda nje ndo suluhisho?au icho kimada ndo kinakuwa kikombe cha babu kuponya ndoa yenu?


  nyie mbna mna mapungufu meeeeng lakin aijawa sababu ya mkeo kutoka nje?

  ahh naskia njaa mie bye:tonguez:
   
 3. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Inasababishwa na tamaa zisizo na nyuma na mbele na kuendekeza uzinzi pia imekuwa fashion siku hizi....Hamna kitu kibaya kama kufanya kitu na kulaumu mwingine, kila mtu abebe lawama zake..
  eti kurekebisha afya kwa kuwa na nyumba ndogo, afya gani hizo mnazopata? hata huyo nyumba ndogo ukimuoa utatoka nje halafu hapo utasemaje?..Ielewe ndoa na maana yake halisi pia maisha ya ndoa, vinginevyo huwezi kuendekeza uzinzi.
   
 4. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Rose, njaa gani? Njoo ule kwangu. Ki ukweli kutoka nje siyo kuzuri kidini, kiafya na kiuchumi pia. Lakini matatizo yakizi ndiyo hivyo tena huwa watu wanaenda ingawa kwa kweli kwenda huko ni hashara kubwa sana kwa mambo mengi sana. Shida moja ni kuwa huwa wagumu sana kujirekebisha.
   
 5. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  bwana rose hata nyie mnatoka 2, tena mby zaid mnapeana darasa ktk vijiwe vya umbea, unakuta mwanamke mke wa mtu badala ya kukaa na mumewe amweleze mapungufu yake yeye anaenda kuomba ushauri kwa mashoga zake, sasa huko ni kuokoa au kupoteza?
  Huko ni kutulizana ndani ya ndoa au kujengeana mabanda madogo?
  Huko kuokoa nyumba zetu au kuzibomoa kabisa?


  Kwanza kbs tuelewe kuw wanawake mnapata raha zaidi ya 75% kwenye tendo kutokana na wataalamu wa mambo yenyewe, sasa kama nyie ndo wahanga wakubwa ni kwa nini usimuweke wazi mumeo ajirekebishe? "TÄFÀKÆRÏ!!! Chukua hatua" SH.
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Wanaboa sana wasichana wa leo,wanajua na wanathamini ku....... tu,ukimpa kazi kdogo wanaanza lawama,wengine wamelelewa macho kwenye tv na mda wote ana rimoti mkononi

  mpe tambala la deki,akiosha na sahani mbili tu utasikia eti kachoka,zamani wakina mama walijua kusuka ukiri n.k,mpe wa siku hizi,mikono mwepesi kana kwamba imechemshwa,hata kusuka nywele wengi hawawezi,yaani kila kitu,oho,mara,..anatamani umsaidie hata kutandika kitanda

  wanawake jueni wajibu wenu,kulegea kwenu kunawaharibia hakuna mme wa kukupenda kwa kufanya hvyo,maana nyinyi mnafikiri mtaonewa huruma na kupendwa kwa kudeka kwenu,mwisho mnaonekana ni mizigo,kumbukeni mapenzi yako constant na wajibu ktk mambo mengine ni kitu kingne tofauti

  bahati mbaya hata mabibi siku hizi hamna,70% ya mafundisho ya kicheni pati ni kitandani na kuvaa,wajibu wenu mbali ya kudo hamfundishwi inavyotakiwa,hamfundishwi kuvumilia wala kukaza mikono kufanya kazi nyumbani,mnafundishwa kuosha nyuso,kucha na visigino,ndoa siyo visigino,ndoa ni taasisi,ndoa ni kazi!
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0

  kweli mwaya
  bas mtoa mada angesema kwa ujumla mambo yanayo wasababishia watu kusalit ndoa zao ..lakin mpira kuwasukumizia wanawake tu si sawa
  kila jinsia ina mapungufu yake

  ni swala la indvdual kuweka generalization si sawa
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  njaa ya kimwili na kiroho...UTANISHIBISHA?
   
 9. A

  Ados Senior Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Rweye niko pamoja na wewe, hayo uliyo sema sawa kabisa ndio maana wanaibiwa
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Long Live Nyumba Ndogo - Bila Nyumba Ndogo dunia ingekuwa sehemu mbaya sana kuishi...
   
 11. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Long Live nyumba ndogo! Bila nyie maisha yangekuwa magumu sana!
   
 12. A

  Ados Senior Member

  #12
  May 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Rweye niko pamoja na wewe, hayo uliyo sema sawa kabisa ndio maana wanaibiwa
   
 13. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  dada Rose yeye alikuwa na njaa,sasa sijuhi anasemaje
   
 14. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,188
  Likes Received: 1,190
  Trophy Points: 280
  nao ni wezi tena wazuri tuuuu!
   
 15. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  uzinzi tu wa baadhi ya wababa ndio unawapelekea kuwa na nyumba ndogo.............................
   
 16. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  matatizo ya ndoa yakijitokeza suluhisho ni nyumbani ndogo? ........... kama ndivyo na huyo naye atakuletea za kuleta utatafuta mwingine.............je mkeo uliyemwacha atakwenda kutafuta wakumliwaza mwisho wa siku


   
 17. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Njoo ufanyiwe maombi Rose utashibishwa Kiroho. Of course kimwili pia huduma ipo si ndiyo mada ya leo. Wewe hutakuwa kidumu ila utakuwa KIPIPA! Ha haaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaa

   
 18. c

  cesc Senior Member

  #18
  May 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  vidumu ni soooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo....................
   
 19. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Namna hii ku solve matatizo kwa nyumba ndogo Ukimwi hautaisha.
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,433
  Trophy Points: 280
Loading...