Wanawake wengi wanaendeshwa na hisia kuliko uhalisia

The Certified

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
910
773
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanya na wataalam wa masuala ya mapenzi zimebaini kuwa wanawake wengi wanaendeshwa sana na hisia kuliko uhalisia.
Katika tafiti hizi, kati ya wanawake wanne mmoja ni lazima utamsikia akijisifia kwamba anapenda mwanaume mwenye sifa anazozitaka mfano mwenye kifua kipana, mrefu kidogo, mstaraabu, Mcha Mungu wakati yeye hana sifa zote hizo.
Tafiti hizi zimelenga vyuoni, shuleni na ofisi
mbalimbali zenye idadi kubwa ya wanawake. Ushauri ni kwamba kwa wanawake wote mnaotaka wanaume wenye sifa hizo ili umpate fanya kwanza hayo unayoya taja wewe na wengine watafata usiseme unataka mwanaume mwenye gari wakati historia yako na mababu zako hata Honi hamjawahi kumiliki. na kama ni Kifua ndio kinachoku Pagawisha na wewe uwe na Shepu ya kuvutia sio utake B hata K Hujafika
 
Back
Top Bottom