Wanawake wengi wana tabia za Mbuzi

Jul 14, 2022
7
12
Sote tunafahamu kuwa Mwanamke ni kiumbe maalumu katika Dunia hii Sawa?

Sote tunafahamu kuwa Mwanamke ni Kiumbe cha Pekee katika hii Dunia Sawa?

Sote tunafahamu kuwa Mwanamke ni Kiumbe chenye thamani katika hii Dunia Sawa?

Mungu alimuumba mwanamke ili awe wa thamani na sio thamani ya Mwanamke , Tatizo ni moja Mwanamke wa leo anajiona mwenye thamani Kwa kubadirisha wanaume na kuwatumia atakavyo, hapo ndipo hujiona yeye ni wa thamani sana.

Kwanza nicheke ahahaha

Hivi huo utahira na ujinga uliopo kichwani kwako wewe mwanamke utaisha lini?

Je, hivi unajifahamu wewe ni Nani na kwanini uliumbwa ukiwa na jinsia ya kike?

Thamani yako ipo wapi ? Au thamani yako ni kuuza UKE wako kwa shilingi 2000/= yaani hata $1 Dollar haijafika alafu na wewe unahitaji upewe thamani nani atakupa thamani hiyo?

Wewe Mwajuma ndala ndefu Jana ulitumiwa na Hassani alipomaliza kukutumia alikutupa na kukuacha kama ulivyo ukaumia sana, lakini kesho ukashikana na Paschal nae akakutumia atakavyo Kisha akakuacha , Kesho kutwa ukakutana na Hamisi nae akakutumia sana kisha akakuacha na leo bado unatumiwa na wakina Juma , Himidi n.k Sasa wewe na MBUZI mnatofauti gani?

Kwa sababu MBUZI anapokuwa na njaa anaweza kuingia katika shamba la mchicha akala, Mwenye shamba akamfumania akampiga jiwe Mbuzi hadi akashindwa kutembea, Mbuzi ataugulia maumivu hayo Kwa muda mrefu akipata nguvu atasimama na kutoka nduki lakini baada ya kukimbia sana atasimama tena na kulitazama shamba Kwa mbali kisha atarudi tena palepale na kuendelea kula mchicha ule.

Badilika MWANAMKE hujaumbwa kama CHOO kwamba kila Mtu akutumie Linda THAMANI yako tafadhali.

IMG-20220711-WA0049.jpg
 
Kwa fimbo moja waeza waongoza mbuzi kumi ila mbuzi kumi vs wakikasirika wanaume 20 mwaeza kunywa maji katika dimbwi moja
 
Kwa hiyo ni mbuzi au choo?

Mbuzi asipokula majani, ale nini? Kisa mchicha umepewa thamani na mwanadamu ndio mbuzi asile? Kama nasi tunakula majani, ambacho ni chakula rasmi cha mbuzi, mbona tunachagua? Usimwuingilie mbuzi kwenye utaratibu wa maisha yake!

Unajua kuna binadamu hawajui choo? Kama kwako kina umuhimu, basi usijumuishe na watu wengine!
 
Mwajuma ndala ndefu huyu dada anaonewa sana, kila mwanaume lazima amtaje.
 
Back
Top Bottom