kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,764
- 3,940
Sawa mkuu,itakuwa nimekupata vyema tu.unadhani povu mkuu..??hapana nimejitahd kumsaidia..kuna mambo hata uyafatilie vip hayakusaidii kitu maishan mwako...!kuna wadada wanapenda showoff sasa huyu inaonekana hapendi showoff..kwann asumbuke na wasopenda hayo mambo wapo kibwena,jus ushauri tu!