Wanawake wengi mnafeli hapa

No sikusema, nimesema nina midevu mingi, yy kasema kavutiwa na mm ila hapendi midevu, nikamwambia ndevu zangu nazipenda kuliko chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ulijiuliza kama anataka mchumba au HANDSOME hiyo ni baada ya kuona picha yako akakwambia amevutiwa na wewe.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Achague but yy kafanya haraka sana, alitakiwa atulie kwanza tujuane vizuri, asioneshe tamaa kama alivyoongea mtoa post, kama alivyosema mtoa post kuwa baadhi ya wanawake wana pupa sana, yaani wanaharaka sana
Duu kwahiyo unataka kusema mwanamke anayetafuta mchumba hatakiwi kuchagua kabisa au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na tangazo alilolieka la kutafuta mchumba nilimaanisha mm ni mchumba na sio handsome, kama kavutiwa na picha inamaana hana haja ya mchumba, nafkiri umenikariri vibaya My
Hapana ulijiuliza kama anataka mchumba au HANDSOME hiyo ni baada ya kuona picha yako akakwambia amevutiwa na wewe.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Juzi nilikua kwenye mjadala kama umeanza kudate na mtu halafu akakwambia ana allergy na mbwa je utamtoa mbwa wako kwa ajili yake?

Aisee ulikua mjadala moto, watu walipanic yaan just someone i date aje tu aniambie hivyo halafu nimtoe mbwa wangu niliyemzoea kwa miaka mitatu, hell no ataenda yeye au atameza vidonge vya allergy,

Hii ishu yako ya ndevu ndio imenikumbusha, kiufupi huyo mtu alikua controller, angekusumbua sana.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah kabisa mkuu nadhani umenielewa sana, na mm sio kama siwezi kutoa ndevu ila nilimuangalia huyu anataka mchumba kweli? Naona alianza na masharti wakati ndio kwanza tunajuana aisee dah
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa iyo alivyojua upo njee akawa anajua una maisha mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mjadala ulikuwa humu humu JF ?? Kama ndiyo ni uzi wa nani huo aisee nikautafute ??
 
Bora wanaoexpose mapema vishida vya buku mbili tatu. Kuna mwingine anakaushaaaa mnafika Mbali Mbali kidogo ndo anaanza baada ya mwaka. Mizinga atakayokupiga utatamani hawa wa buku buku.
kweli kabisa. Na kipindi hicho unakuwa ushajiwekeza kifikra na kihisia kiasi kwamba kuchomoka inakuwa ngumu, unaishia kulalamika pembeni lakini kuacha huwezi. Mpaka ukija kutahamaki unagundua ulikuwa unapigiwa timing kitambo ujae kwenye 18.
 
Huo mjadala ulikuwa humu humu JF ?? Kama ndiyo ni uzi wa nani huo aisee nikautafute ??
Hapana haukua humu jf, ni site ingine kabisa.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Mkuu mbona wewe ndio unaonekana uko na tatizo!
Katangaza nafasi ukaitaka,ukaambiwa uende PM ukakosa ujasiri mdada akaja mwenyewe.
Ukaambiwa utume picha,Na wewe ukatuma bila hiyana.
Kama ukua tayari kwanini usingepoteza alivyokuja DM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…