Wanawake wengi hawana hela ya sikukuu

magufuli kabana mbaya..we tangu masolex aingie madarakan ushaskia hata wale mashankupe wa mjin wanafanya besdei?
Duh..................
Lakini hilo nalo neno!
Comments zako umehit kwenye ukweli fulani na umetufumbua macho.............
 

Umeona haitoshi umehamia huku na kaavata unakabidili kila saaa.....unajitangaza kabisa unaombwa,mfyuu.....
 
I can understand your philosophy but my statements doesnt in anyway degrade women

Mostly wanaomba bcoz they think they have something to trade it with, if not wangeomba wanawake wenzao

We unataka ni-sympathyze na mfumo uliokuwepo kabla? Unafikiri hawa watu wote hawajaenda shule au chuo? au unafikiri wote hawana kazi?
 
Umeona haitoshi umehamia huku na kaavata unakabidili kila saaa.....unajitangaza kabisa unaombwa,mfyuu.....

Jiwe gizani.....
My dada brenda18 umekuwa mkali gafuraaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Umeona haitoshi umehamia huku na kaavata unakabidili kila saaa.....unajitangaza kabisa unaombwa,mfyuu.....

Hah hah huku tunaongelea mizinga mnazotupiga. Mimi ni mmoja wa victims, kipindi hiki mmezidi.

Eti nabadili avatar kila saa!!! nimebadilisha mara moja tu
 
[

QUOTE='Valentina';14848964]Mtumishi wacha kutuharibia teh[/QUOTE]



haahaaha!!! kumbe na mm nimetumbua jipu ee?!!! poleni sn tatzo ndio kazi yangu iyo!!!!!!. ww ukiniomba tarehe 2 Jan,2016 Nakupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…