Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,543
he he he he, Mi sijawahi kukutana na wanaume wawili wanafanana kwa asilimia kubwa wanataka nini....wanaume wenyewe wako tofauti,na mitazamo yao na matamanio yao kwa wapenzi wao hayafanani na hubadilika kila mara.....mfano, kabla hujajifungua mwanaume anasema anakupenda na wembamba wako na viziwa vyako vidogo,umejifungua ukanenepa kidogo unaanza mazoezi kurudia alivyokuwa anakupenda mwanzo na ulivyokuwa unaona unapendeza.....anaanza.....no baby,i like you with some meat....am loving that body right there......!
Una nywele ndefu ukapunguza kipindi cha ujauzito anasema,i think i like you in short hair.....argghhhhhh......leo anapenda uvae nguo ndefu kesho anaona fupi ni sawa......so kujaribu kujua kipi mpenzi anapenda na ukipata anayesema ni kitu kizuri.....do it all the time and demand honesty....lol