Jukwaa linaruhusu hivyo na kwa mantiki hiyo nami natumia fursa hiyo kwa mujibu wa GUI inayopatikana hapa.Tatu unapenda sana support ya watu, nafikiri ili kujihakikishia kuwa ulichosema kinakubalika.
Anyway, as l said l might be wrong lkn huo ndio picha niliyonayo about you.
Kuhusu utupu, how on earth can l know? JF huo yenye fake identity.
Hapo pia bado sijaona tatizo...sikiliza best bado nasisitiza kuwa ufanyacho ni kuhangaika na kivuli cha watu8.watu8,
1: sijasema UNAKUBALIKA, nimesema UNAPENDA kukubalika.
Hiyo scenario naikumbuka enzi za live shows za lara 1 lakini Je unakumbuka muktadha ulionifanya nimwambie lara 1 kuwa kwa kiasi fulani nafanana na The Boss?...hao walionishushua kama ulivyoandika pengine hawakuelewa kama ambavyo wewe umeshindwa kuelewa na kuliweka hilo moyoni hadi leo...Na uzuri ni kwamba huwa sina mtindo wa kuendelea kuishichini ya uvuli wa posts za hapa jamvini...2: bahati mbaya natumia simu lkn tafuta interview ya Lara 1 ambayo ulisema wewe unafanana na the boss, watu wakakushushua. Kutumia maandishi makubwa ni sawa na kuongea kwa sauti kubwa ili usikike. Points hata kwa sauti/maandishi ya kawaida zinajulikana tu.
Methali zipo ili zitumiwe kwa wakti sahihi...nimeona kuna haja ya kufanya hivyo na nimefanya hivyo...hilo la empty jugs huo ni muono wako wewe pengine ndio huwa unawachukulia hivyo watu wengine nikiwemo mimi!!3: umeona eeh, kwa kutumia hiyo hiyo methali ya kichina ushajipambanua role yako unayopenda kuipotray hapa jamvini ya mwalimu (anayejua kila kitu) na wengine ni empty jugs wanaohitaji kujazwa maarifa toka kwa mwalimu.
Asante kwa uamuzi huu...kwani waungwana husema, "Akunyimaye kunde hukupunguzia mashuzi".4: pls sihitaji kukujua zaidi ya jamvini. So jinsi yako si muhimu mimi kuijua.
Sihitaji kukumbuka chochote kuhusu hizi chats zaidi nilikuwa najaribu kujibu hoja zako accordingly.Na by the way, wapi nimekukataza au hata kuonesha dalili ya kukereka na wewe kumingle au kucheka na watu? Au umesahau how all these begun?
Hapo pia bado sijaona tatizo...sikiliza best bado nasisitiza kuwa ufanyacho ni kuhangaika na kivuli cha watu8.
Hiyo scenario naikumbuka enzi za live shows za lara 1 lakini Je unakumbuka muktadha ulionifanya nimwambie lara 1 kuwa kwa kiasi fulani nafanana na The Boss?...hao walionishushua kama ulivyoandika pengine hawakuelewa kama ambavyo wewe umeshindwa kuelewa na kuliweka hilo moyoni hadi leo...Na uzuri ni kwamba huwa sina mtindo wa kuendelea kuishichini ya uvuli wa posts za hapa jamvini...
Kama mahali huelewi jifunze kuuliza na utapewa maelezo ya ziada, pia huwa kuna PM platform ambayo mtu akikukera unaweza kuitumia kuwasiliana naye binafsi
Methali zipo ili zitumiwe kwa wakti sahihi...nimeona kuna haja ya kufanya hivyo na nimefanya hivyo...hilo la empty jugs huo ni muono wako wewe pengine ndio huwa unawachukulia hivyo watu wengine nikiwemo mimi!!
Huwezi kutambua mood yangu na kuwa na uhakika nayo kwa maandishi niyaandikayo...bado narudia kuna mambo mengi tu huwa nayaandika hapa kama porojo tu!!
Asante kwa uamuzi huu...kwani waungwana husema, "Akunyimaye kunde hukupunguzia mashuzi".
Sihitaji kukumbuka chochote kuhusu hizi chats zaidi nilikuwa najaribu kujibu hoja zako accordingly.
Baada ya hapa mimi nitaendelea kuwa MIMI na wewe utaendelea kuwa WEWE.
Anyway, for the sake of ur ego; nakuachia nafasi ya kuwa na last word, ambayo sitaijibu. Itumie vizuri!
sababu mnamidomo miwili kama siyo mitatu aha ha haaa
Hahahah, hivii; unapimaje kwamba mtu haelewi? Kipimo ni uelewa wako wewe au?
Kwanini niende PM kwa kitu ambacho naweza ongea public?
Halafu, mara tu umesahau kuwa nivyoainisha ndivyo ninavyokuelewa mimi, sasa nguvu zote ulizotumia kujieleza otherwise zimezidi kunihakikishia usahihi wa mtazamo wangu kwako. Ungekuwa smart ungeniignore mapema sana coz wahenga wanasema "opinion is an asshole, everyone has one". Sasa kwa kuniruhusu nikuanalyze umedraw attention ya 'watu' wengine ambao unatafuta sana kukubalika nao.
Anyway, for the sake of ur ego; nakuachia nafasi ya kuwa na last word, ambayo sitaijibu. Itumie vizuri!
tuna tabia chafu,midomo michafu,mawazo machafu kama huamini tembelea mablog yetu ya wadada wa mjini...sinta au uturn au blog yoyote uone tunavomwaga macomments ya kimatusi.hivi tutaleaje watoto wamama tumekosa adabu hivi?tupo tu kama vichaa tuliotoroka wodini.
asilimia kubwa tunaliwa tigo.
tunatembea na wadogo zetu,baba zetu na hata baba zetu ilimuradi tupate tu pesa
tubadilikeni
wanawake wa mjini wako sawa na wapiga debe wa stand.