Wanawake wengi akili hazijatulia

Ha ha haaaa zamda niache nilale..ukute umeshindia dagaa za kuchemsha siku 2 mangi anadai hela yake..mume karudi hana mia..na ww utaweza kum bembeleza eti ipo siku utapata?
 
Mkuu, wengine(mimi specifically) harusi zetu bajeti yake hata toyo hununui... Sasa sijui unasemaje; Na ukiangalia post ya huyo mdada amegeneralize,hajaweka hizo assumptions ulizoweka wewe. Mimi binafsi naona hayo ni mawazo ya kimaskini sana kwa sababu yeye mawazo yake ndo yameishia kwenye gari, yaani anahisi ukishakuwa na gari, basi umemaliza na unaweza kufikiria kuoa(sio nyumba,sio chochote, ila gari)... Hao ndo wale wanawake ambao ukiwapa lift kwenye gari yako they get wet na unaweza kuwagegeda humo humo ndani ya gari bila kusema neno hata moja.
 
Ha ha haaaa zamda niache nilale..ukute umeshindia dagaa za kuchemsha siku 2 mangi anadai hela yake..mume karudi hana mia..na ww utaweza kum bembeleza eti ipo siku utapata?

Haya bhana ila lala na hili, unaweza kuwa na chochote kwenye ndoa yako lakini kwa tabia zako wewe mwenyewe utamfanya mwanaume asikutamani wala asiwe na upendo kwako dushe haisimani kwako inaenda inasimamia nyumba ndogo,so think twice my dada.
 
Mi mwanaume ni yule mwenye akili ya kutafuta na mipango ya maendeleo,sijali km huna gari,gari la mkopo halafu unapaki kwenye nyumba za watu au ofisi ya ccm ndo nini?

Sasa mwanaume akishakuwa na akili ya kutafuta na kupanga maenedeleo, ukishakuwa mtafutaji maana yake utakuwa na pesa, ukiwa na pesa utafanya maendeleo ikiwa pamoja na kununua magari. Kuwa na gari sio luxury siku hizi, gari siku hizi ni basic needs
 
Sitaki kuamini mumeo anarudi nyumbani kahangaika kutwa nzima hajapata kitu we umgombeze badala ya kumpa moyo mwenzio!! Haki ya mama upendo umeisha kwa wadada kilichobaki ni maslahi,mmh kumbe asiye na hela hapati upendo!!
 
Sasa mwanaume akishakuwa na akili ya kutafuta na kupanga maenedeleo, ukishakuwa mtafutaji maana yake utakuwa na pesa, ukiwa na pesa utafanya maendeleo ikiwa pamoja na kununua magari. Kuwa na gari sio luxury siku hizi, gari siku hizi ni basic needs

Foundation gari isiwe kigezo cha kukubaliwa,usiowe mpaka uwe na gari na nisiolewe mpaka uje na gari?Ila akiwa na akili ya kutafuta mtapambana mkiwa mnajua malengo yenu ni yapi na kama ni gari mtanunua tu,sio usiowe mpaka uwe na gari.
 
Foundation gari isiwe kigezo cha kukubaliwa,usiowe mpaka uwe na gari na nisiolewe mpaka uje na gari?makubwa.

Huyo mdada sijamsoma na sijajua alikuwa anamaanisha nini ila kiukweli haya magari na pesa kwa ujumla vinarun mapenzi na ndoa. Mtu akiwa na gari ni kiashiria kwa wapuuzi kwamba ana pesa, utang'oa wengi.

Vijana tafuteni pesa ili muishi bila stress maana mtadanganywa mnapendwa kumbe.....
 
wanawake wengiiiiii???????....hapo hawakosekani mama ,dada,aunt zako nao wamo
 
Ha ha haaaa zamda niache nilale..ukute umeshindia dagaa za kuchemsha siku 2 mangi anadai hela yake..mume karudi hana mia..na ww utaweza kum bembeleza eti ipo siku utapata?

Hahahaha..hapana kwakweli huo upendo wa hivyo sina...atleast tuanze juu tushuke chini...ila kutoka chini kwenda juu siwez mwishoe akifanikiwa unatupwa huko na maisha yenyew yalivyomagumu alie chini atabaki kuwa chini sasa utampa moyo upi tena hapo
 
Wewe sema badhi ya watu...kuna watu IQ zao ni ndogo sana awe mwanamke au mwanaume..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…