Duu hawa wanawake hawaeleweki ni pasua vichwa usiombe kwani yeye nani kamnyima asinunue aolewe akiwa nalo hapa ni mwendo wa haki sawa mpaka mtajuta kuomba haki sawa kama siyo kuomba poo.
tandaleMi mwanaume ni yule mwenye akili ya kutafuta na mipango ya maendeleo,sijali km huna gari,gari la mkopo halafu unapaki kwenye nyumba za watu au ofisi ya ccm ndo nini?
Darasa la saba,,,! wewe je?
Mi mbona sioni tatizo na hyo post yake? Fact..myself I cnt imagn tht woman who married a man without a car
Mi mbona sioni tatizo na hyo post yake? Fact..myself I cnt imagn tht woman who married a man without a car
Mkuu huyo mwanamke hajielewi,ndoa ni zaidi ya gari,kuna wanawake wanaume zao wanachagua gari ya kutoka nayo lakini hawazifurahii ndoa zao.
Nimecheka tu,au kwa nini wasitafute wote wakanunua hilo gari.?
tandale
I better cry in a hummer wea nobody sees mi than cryn in a bicycle
You want a man with a Range rover while
your Dad has a bicycle....Be humble like
your mum
Huo ulikuwa ujinga wa mama yangu..he married my dad akiwa hana mbele wala nyuma mama akauza hadi vitumbua bdy mazao wakaja kutajirika saana then baba yangu akamuacha sayn hawaendan tena while they fought 2gthr..so mi sianzi frm zero na mwanaume ng'oooo
wanawake wenye akili kama zako wamebaki wachache sana siku hizi
Huo ulikuwa ujinga wa mama yangu..he married my dad akiwa hana mbele wala nyuma mama akauza hadi vitumbua bdy mazao wakaja kutajirika saana then baba yangu akamuacha sayn hawaendan tena while they fought 2gthr..so mi sianzi frm zero na mwanaume ng'oooo
Zamda my dear mtu asikudanganye upendo haulipi ada wala hauweki chakula mezani..na mwanaume akiwa na stres ya hela hata dushe haisimami na huo usingz hapati..
Zamda my dear mtu asikudanganye upendo haulipi ada wala hauweki chakula mezani..na mwanaume akiwa na stres ya hela hata dushe haisimami na huo usingz hapati..