M Mwaafrika New Member Joined Jan 23, 2015 Posts 2 Reaction score 2 Jun 5, 2025 #1 Habari, Swali langu hapa ni fupi sana, Ni kabila gani / Mkoa gani una sifa ya kuwa na wanawake wembamba nchini, ?
Habari, Swali langu hapa ni fupi sana, Ni kabila gani / Mkoa gani una sifa ya kuwa na wanawake wembamba nchini, ?
Notorious_Marcc JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 2,599 Reaction score 6,145 Jun 5, 2025 #3 Wachaga wa Moshi, hawa viumbe, hata mapenzi yao na chakula huvipima kwa jicho la mizani. 🙌🏽
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,696 Reaction score 15,978 Jun 5, 2025 #4 kanda ya kati pale Singida,Dodoma na Manyara. Ukibadili gia angani ukataka mizigo nenda kanda ya ziwa😁
kanda ya kati pale Singida,Dodoma na Manyara. Ukibadili gia angani ukataka mizigo nenda kanda ya ziwa😁
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,424 Reaction score 10,019 Jun 5, 2025 #5 Mwaafrika said: Habari, Swali langu hapa ni fupi sana, Ni kabila gani / Mkoa gani una sifa ya kuwa na wanawake wembamba nchini, ? Click to expand... Unataka wa nini
Mwaafrika said: Habari, Swali langu hapa ni fupi sana, Ni kabila gani / Mkoa gani una sifa ya kuwa na wanawake wembamba nchini, ? Click to expand... Unataka wa nini
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 38,232 Reaction score 76,754 Jun 5, 2025 #6 Sultan MackJoe Khalifa said: kanda ya kati pale Singida,Dodoma na Manyara. Ukibadili gia angani ukataka mizigo nenda kanda ya ziwa😁 Click to expand... Amesema wembamba siyo miguu myembamba
Sultan MackJoe Khalifa said: kanda ya kati pale Singida,Dodoma na Manyara. Ukibadili gia angani ukataka mizigo nenda kanda ya ziwa😁 Click to expand... Amesema wembamba siyo miguu myembamba
Chick_tz JF-Expert Member Joined Mar 2, 2025 Posts 2,446 Reaction score 3,297 Jun 5, 2025 #7 Nenda bungen utakutana nae
Njemba Soro. JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,282 Reaction score 7,473 Jun 6, 2025 #8 Wamasai.
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 22,680 Reaction score 54,487 Jun 6, 2025 #9 Warangi,
Veteran Sailor JF-Expert Member Joined May 28, 2025 Posts 1,871 Reaction score 3,841 Jun 6, 2025 #10 Singida huko....
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,345 Reaction score 193,317 Mar 21, 2026 #11 Ngoja waje... Cc: Mahondaw