Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Hahaaa!chura hapanaHutaki chura weweeee......
Well said[emoji1]Kila shetani na mbuyu wake
Hahaaa[emoji2]Mmh. Kwa ulivyomalizia mwisho nadhani umesahau kwamba siku kila mwamba ngoma lazima avutie kwake Mkuu.
Yaani wakija wale wapenda saizi ya kati na hayo mabonge sidhani kama watakuelewa.
Hongera kwao hao vyembambaaa. Hahahaaa. Lol
Tupo kama wanaume milioni 25 hivi[emoji1]Huo ndio ugonjwa wangu
ina onekana una churaaa...Mmh. Kwa ulivyomalizia mwisho nadhani umesahau kwamba siku kila mwamba ngoma lazima avutie kwake Mkuu.
Yaani wakija wale wapenda saizi ya kati na hayo mabonge sidhani kama watakuelewa.
Hongera kwao hao vyembambaaa. Hahahaaa. Lol
Hahaaaa. Nimtoe wapi mie Mkuu huyo Chura.ina onekana una churaaa...
Mmh... hacha utani et... Picha na bashasha vina onesha kuwa yaliyomo yamo...Hahaaaa. Nimtoe wapi mie Mkuu huyo Chura.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tupo kama wanaume milioni 25 hivi[emoji1]