Wanawake wazuri wazuri wameolewa.........................

DASA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
1,031
Reaction score
302
Yamebaki manungayaembe yanahangaika.
 
ndo matatizo ya wanaume wa bongo.mwanamke akifanya kitu flani wanauliza? ila wao ni poa ukipandishwa cheo kazini umetembea na bos ila wao wakipandishwa wanastahili , mtabaki kuchonga tu najua umenielewa
 
Hakuna mwanamke mbaya wewe!!
 
watakudunda wewe tunao wengi humu,nakumbuka nyimbo hii tuliimba harusini basi kutahamaki tukabaki wanaume watupu,wanawake wote wakasusa kwasababu hawajaole.....Na log off
 
ndo matatizo ya wanaume wa bongo.mwanamke akifanya kitu flani wanauliza? ila wao ni poa ukipandishwa cheo kazini umetembea na bos ila wao wakipandishwa wanastahili , mtabaki kuchonga tu najua umenielewa

Kwani manungayaembe manake nini!!! mbona hamjibu!! mnaumia tu!! Loh!!
 
watakudunda wewe tunao wengi humu,nakumbuka nyimbo hii tuliimba harusini basi kutahamaki tukabaki wanaume watupu,wanawake wote wakasusa kwasababu hawajaole.....Na log off

Tatizo wanajishtukia wenyewe!! Loh!
 
Back
Top Bottom