Wanawake wazuri(warembo) ni kwa ajiri ya wanaume wenye nguvu kiuchumi au maarufu tu.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,488
In Hashim Dogo voice ili jambo liko wazi kama vazi la kahaba. hivi vitu vipo toka enzi na enzi ukiwa boyaboya lazima ustay back kuna vitu utakuwa unaishia kuviwaza tu. hili wazo limekuja baada ya kukumbuka nilivyokuwa na kataliwa na warembo pale CBE Dodoma.
 
Unaona unavyo msifia.. siku akuse pesa na ajilete kwako umkopeshe sijui kama atasalia.
sio sawa 100%,Kuna jirani yangu anapika chips tena kaajiriwa(sijamdharau) ila ana mke wake chombo moja hatari sana
 
In Hashim Dogo voice ili jambo liko wazi kama vazi la kahaba. hivi vitu vipo toka enzi na enzi ukiwa boyaboya lazima ustay back kuna vitu utakuwa unaishia kuviwaza tu. hili wazo limekuja baada ya kukumbuka nilivyokuwa na kataliwa na warembo pale CBE Dodoma.
Warembo ni wengi mno ukilinganisha na idadi ya watu maarufu na matajiri.

Amini kuwa hata sisi tutawapata tena kirahisi sana tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom