Wanawake wazuri wafanye nini ili wafae kwa doa?

Wanawake wazuri wafanye nini ili wafae kwa doa?

Kuchakuro Ps

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
443
Reaction score
525
Wakuu Habari gani?
Nyuzi nyingi humu JF zina tahadharisha juu ya hatari na madhara ya kuwa na mwanamke mzuri na mrembo.
Wanaume wengi wangependa kuwa na mahusiano na Wanawake wa aina hiyo, lakini inaonekana wengi wanakuwa malaya kuliko kuwa Wanandoa.
Wafanye nini, ili wafae kuwa akina Mama Bora wa Walezi wa familia zao.
 
Cha kufanya ni kulea watoto katika maadili mazuri tangu wakiwa wadogo

Kinachomfanya mwanamke/binti mrembo kuwa na tabia mbaya akiwa ndoani/ukubwani mara nyingi source/mzizi ni malezi kutoka kwa wazazi wao sio urembo wao

Kuna wasichana wengi tu warembo wanaojiheshimu...ni malezi tu
 
Back
Top Bottom