Mefloquine
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 499
- 1,206
Nahisi utakua mrembo wewe! Sikupendi tena ngoja nifate ushauri wa mleta mada 😀Thread za marudio hizii ..zishaletwa sana humu
[emoji23][emoji23][emoji23]ata mie sikupendi nakuogopa ww utakua hendisamuNahisi utakua mrembo wewe! Sikupendi tena ngoja nifate ushauri wa mleta mada 😀
hee vipi tena babyshem, kimetokea nini hadi unasema hivyo mpenziSiwapendii nyie watu natamani muhame jf
naam kabisaNaona fimbo ya mbali haiiuwi nyoka..
Kwani hii mada si inahusu wanawake warembo tu?[emoji23][emoji23][emoji23]ata mie sikupendi nakuogopa ww utakua hendisamu
Kwani ndo haturuhusiwa kutoa comment kwa ma hendisamuKwani hii mada si inahusu wanawake warembo tu?
Hairuhusiwi, unatakiwa u stick kwenye mada husikaKwani ndo haturuhusiwa kutoa comment kwa ma hendisamu