Wanawake wavivu kitandani mnaboa

Niko poa best. Itakuwa aiseee.

Maana sikuurudia tena na hapa ndio umenikumbusha ujue lol.
Ooho basi ulikosa uhondo, ulinoga hatari, nikakukopia kulikonoga zaidi nikurushie kwa pyem, wacha inigomee kusend, kila nikijaribu kusend holaaa, duuh!! Nikaishia poz kabisaa, manake nilijua uko bize na hubby na watoto huwezi ingia huku tena.
 
Nikisikia tu hamna hela ya matumizi sikupi vizuri nakuambia.
 
Ooho basi ulikosa uhondo, ulinoga hatari, nikakukopia kulikonoga zaidi nikurushie kwa pyem, wacha inigomee kusend, kila nikijaribu kusend holaaa, duuh!! Nikaishia poz kabisaa, manake nilijua uko bize na hubby na watoto huwezi ingia huku tena.
Uwiiii. Pole sana best.

Kwa hali hiyo kama utakuwa na chance naomba kesho nikutwangie aisee. [emoji85] Maana si kwa kupitwa huko.

Pole sana sababu ulikuwa na juhudi hasaa.
 
Mmmh. Mie naona kikubwa ile raha ipatikane tu hizo kunja kunja zaweza kuwepo ila badala ya raha ikageuka kuwa karaha.

Pia punguzeni kuiga kwa wazungu sababu wale wanafanya biashara.
Mwisho wavunjane viuno bure,ushaona wapi mtu anafundishwa karate uzeeni wakati viungo vyote vimeshakaza?
 
Uwiiii. Pole sana best.

Kwa hali hiyo kama utakuwa na chance naomba kesho nikutwangie aisee. [emoji85] Maana si kwa kupitwa huko.

Pole sana sababu ulikuwa na juhudi hasaa.
Ok poa
 
Nimejikuta nacheka sana eti staili ya mazishi ya mende maana staili ya kifo chake imezoeleka
 
Mmmh. Mie naona kikubwa ile raha ipatikane tu hizo kunja kunja zaweza kuwepo ila badala ya raha ikageuka kuwa karaha.

Pia punguzeni kuiga kwa wazungu sababu wale wanafanya biashara.
Kuna michezo miingi kabda ya tendo, hata maongezi matamu pia yana raha yake na yanasisimua.....sioni kwanini ulazimishe style ambayo mwenzio hatakua comfortable nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…