Wanawake wavaa mawigi hawajui mapenzi

Wanawake wavaa mawigi hawajui mapenzi

Hahaha embu waache leo siku yao bwana..wafurahi..
 
Kama ni gari basi ni Engine, Yani katika swala la ku "do" kama mwanamke hazungushi hata kiuno basi jua ni sawa na gari kukosa engine inabidi ulivute kwa Kamba labda na utafika safari yako ila utakuwa umechoka mno, lilipaswa likubebe au likuendeshe ustarehe matokeo yake umeliendesha wewe. bashasha (romance) ni nzuri ila kiuno ndo mpango mzima.
Aaaah mi mmasai bana sitaki wewe naruka ruka...tulia nikulenge!!
 
Halafu ndo uko katikati ya game halafu anakwambia baby pull my hair please! Jaribu kupull ujionee yaan kichwa kama kung'utio la unga mashineni.
 
Chunguza mkuu aliyemnunulia wigi.....kama hujanunua we we Basi acha kulalamika!

But ufundi Wa mapenzi na wigi wapi na wapi braza? Mbona Hamna co_relation....
Pengine wig linamfanya ke ashindwe kukuruka ipasavyo kwa kogopa litapoteza muonekano wake mzuri, na pengine hawa wakina Mwajuma waliosuka twende kilioni hilo wao haliwasumbui kwahiyo wakiingia gemuni wameingia,na huenda mtoa uzi anamaanisha wakina Mwa J hawajaweka wigi bali wamesuka tu nywele zao. Labda ndiyo hivyo.
 
naona wanawake wengi wa JF wanavaa mawigi, utajua tu kwa kusoma comments zao!
 
Unamkuta mwanamke na wigi lake la kichina anajitingisha kama nywele zake, mtongoze sasa,katika mambo Mara utasikia usiniguse nywele zangu dear.Hizo ni nywele zako au bosheni.

Hata kukatika mauno hawajui, nenda kwa kina Mwajuma sasa na style zao za nywele twende kilioni, utakatikiwa mauno hadi kidume utaomba poo.

Ha ha ha ha ha......acha ubahiri bhana na visingizio vya kitoto, mnunulie shemeji wigi naye aende na wakati. Wigi na mapenzi vinahusiana vipi???.
 
Unamkuta mwanamke na wigi lake la kichina anajitingisha kama nywele zake, mtongoze sasa,katika mambo Mara utasikia usiniguse nywele zangu dear.Hizo ni nywele zako au bosheni.

Hata kukatika mauno hawajui, nenda kwa kina Mwajuma sasa na style zao za nywele twende kilioni, utakatikiwa mauno hadi kidume utaomba poo.
 
Unamkuta mwanamke na wigi lake la kichina anajitingisha kama nywele zake, mtongoze sasa,katika mambo Mara utasikia usiniguse nywele zangu dear.Hizo ni nywele zako au bosheni.

Hata kukatika mauno hawajui, nenda kwa kina Mwajuma sasa na style zao za nywele twende kilioni, utakatikiwa mauno hadi kidume utaomba poo.
Hongera sana kwa kuanzisha uzi
 
Back
Top Bottom